Heslb

Villneth

Member
Aug 19, 2011
16
0
Am abt to go crazy, jaman nsaidieni, is there a way ya kuappeal niweze pata mkopo, coz sjapata and i got the priorities

mkuu usiwe na shaka watatoa infos sababu sio wote waliokosa ni matajirri kwani wengine waliandika ni mayatima kiukwel nao pia wamo kweny list,hata mdogo wangu kachaguliwa UDSM B SC MIROBILOLOGY,AMEKOSA MKOPO HUKU SHULE ALIZOSOMA ZOTE NI GVT,,,TENA ANASTAHILI MKOPO KWA JINSI ALIVOJIELEZA KWENYE ILE FORM,,,na infact wengi hatuna uwezo wa kulipa mamilioni..watatuinform kwani hata wenyewe wanajua hali halisi.
Kitu ambacho walichokifanya ni kuwa hawajaeleza sababu za kutokustahili kupata mkopo ki ukweli sijafurahia hilo,wangekuwa open ili watu waondokane na kuchanganyikiwa...tuwe na subira kidogo hata mwenyewe ninaumia kwa mdogo wangu....lazima wata tu info mkuu..hii mbona itakua ni disaster kwa wazazi na wanafunzi wengi nchini kwetu....walitoa vigezo pia kwa wale wanaochukua sayansi ya tiba ni 100% mbona katika kundi la waliokosa loan ni wengi,wapo wa muhimbili,bugando,na nyingine.
Usiwe na mcheche second chance lizama ipo..

Naomba niulize, ule mpango wa kutoa 100% kwa science courses umekufa?

duuh!ule mpango ulikufa mkuu,kwa hawa wanaoingia second yr ndo wa mwisho..ndo unaweza kujua gvt yetu haipo makin kwenye elimu.Wanahimiza shule nying zijengwe akati huo huo wana4get kuwa intake ya university ni kubwa kwani watu na wazazi weng wanajua umuhmu wa elimu sasa..ndo hivo mkuu tunashndwa kuwekeza kweny elimu.

mkuu usiwe na shaka watatoa infos sababu sio wote waliokosa ni matajirri kwani wengine waliandika ni mayatima kiukwel nao pia wamo kweny list,hata mdogo wangu kachaguliwa UDSM B SC MIROBILOLOGY,AMEKOSA MKOPO HUKU SHULE ALIZOSOMA ZOTE NI GVT,,,TENA ANASTAHILI MKOPO KWA JINSI ALIVOJIELEZA KWENYE ILE FORM,,,na infact wengi hatuna uwezo wa kulipa mamilioni..watatuinform kwani hata wenyewe wanajua hali halisi.

Kitu ambacho walichokifanya ni kuwa hawajaeleza sababu za kutokustahili kupata mkopo ki ukweli sijafurahia hilo,wangekuwa open ili watu waondokane na kuchanganyikiwa...tuwe na subira kidogo hata mwenyewe ninaumia kwa mdogo wangu....lazima wata tu info mkuu..hii mbona itakua ni disaster kwa wazazi na wanafunzi wengi nchini kwetu....walitoa vigezo pia kwa wale wanaochukua sayansi ya tiba ni 100% mbona katika kundi la waliokosa loan ni wengi,wapo wa muhimbili,bugando,na nyingine.

Usiwe na mcheche second chance lizama ipo..

dah cyo siri am so down, yan wakileta dat chance again, i'l b grateful. Mpe pole mdgo wako mkuu

dhambi za hawa watu sijui wataziweka wapi. kuna kijana mmoja tumemaliza nae shule mwaka huu kapata nafasi UD kusoma CIT lakin wamemnyima mkopo hata kidogo, hii imepelekea mama yake mzazi kufa kwa presha usiku wa kuamkia leo kutokana na hizo taarifa, ni kitu cha kushangaza kwa mtu mwenye vigezo vyote kukosa ata asilimia kumi ya mkopo kwa kwel heslb hawako fea ata kidogo.!! REST IN PEACE MAMA, MATABAKA TUNAYOJENGA NI MABAYA SANA HASA KWA KIZAZI KIJACHO....

Naona suala la mkopo lilikuwa la kisiasa kwaajili ya kumuingiza mjomba madarakani.ivi kama fleshers from six wamekosa mimi mweye equivalent yaani diploma nitapata kweli?

we sahau yani.maana nyie wenye equivalent waliishaga waambie mkakope Nssf.

Kuna Jamaa yangu nimfanyakazi amepewa mkopo milion 3,413,640/- je ni mojawapo ya vigezo vinavyotakiwa?

Similar Discussions

Back
Top Bottom