Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,074
Uhakika wa kupata kama ni priority course hasa kama sayansi.Je three mkuu huwez kupata mkopo?
Uhakika wa kupata kama ni priority course hasa kama sayansi.Je three mkuu huwez kupata mkopo?
Kulilia watu kivipi cjaelewa mdauHahaha mdau bora usome mwenyew usije kulilia watu jukwaani
Je kwa mfano mtu kasoma arts na kapata division three na anataka asome education hapo inakuwaje mkuuUhakika wa kupata kama ni priority course hasa kama sayansi.
Mwaka huu education art sio kipaumbele, isipokuwa education science and mathematicsKwaiyo ualimu naeza kupata mkopo
Ukiangalia guidelines za cluster priority 1 zinaoneshaJe kwa mfano mtu kasoma arts na kapata division three na anataka asome education hapo inakuwaje mkuu
Duu asante ndugu kwakutupa moyo maana si mchezo aya mamboWewe kijana mbona una kichwa kigumu ni lini course za art ukitoa za ualimu ziliwai kuandikwa ni priority course na mnapewa mikopo ili mradi mmefaulu vizuri?
Mnashindwa kuelewa nini?
Mkuu hao wengine inaonesha hata hiyo GuideBook hawajaisoma, bali wamehadithiwa tu!!! Ukweli Ni Kwamba Wanashindwa Kutofautisha Kati ya "LOAN (MKOPO), na GRANT (RUZUKU)"Page no ngapi wameongelea hilo suala la div 1 an 2 katika Guidline ya HESLB mkuu?
"Means of Test Score" wanamaanisha Kuwa "Ni Kule Kuangalia Kwa Wanafunzi Waliosoma Elimu Ya Secondari Shule Za Private" Haiwezekani Kuwa Private Ulikuwa Unalipa Mil 3.5 per year, halafu Upewe Mkopo wa Mil 2.5, hapo itabidi ujisomeshe Mwenyewe coz itakuwa uwezo unao.wanapo sema ''means of test score" wanamanisha nini?
"Means of Test Score" wanamaanisha Kuwa "Ni Kule Kuangalia Kwa Wanafunzi Waliosoma Elimu Ya Secondari Shule Za Private" Haiwezekani Kuwa Private Ulikuwa Unalipa Mil 3.5 per year, halafu Upewe Mkopo wa Mil 2.5, hapo itabidi ujisomeshe Mwenyewe coz itakuwa uwezo unao.
Au Diploma Umesoma Nairobi na Ulilipa Mil 4 per year ukataka upewe mkopo hilo halitawezekana.
Mkuu Hiyo Ndiyo Kuangalia Means Of Test Score.
weeee mwaka jana non _education science na non_mathematic ilikuwa kwenye cluster ya pili so usiseme art haijawahi kuwa priority bhana sema mwaka huu hata kwahiyo cluster ya pili wameondoa na kudeclair kuwa is non _priorityArt haikuwai kuwa priority zaidi ya ualimu na science hivyo msiogope vijana we fanya application.
Mkuu hao wengine inaonesha hata hiyo GuideBook hawajaisoma, bali wamehadithiwa tu!!! Ukweli Ni Kwamba Wanashindwa Kutofautisha Kati ya "LOAN (MKOPO), na GRANT (RUZUKU)"
Katika Guideline yao Hakuna Hata Sehemu Moja Waliyoandika Criteria (Vigenzo) vya Kupata Mkopo (Loan) Kuwa ni Div 1&2.
Bali (Criteria) Vigezo Vya Kupata Ruzuku (Grant) ndiyo Wameeka Div 1&2, au Kwa Wale Sifa Mbadala (Equivalent) Yaani "Diploma Holders) Wawe Na "Fist Class". Na Watalazimika Kufanya Kazi Tanzania Kwa Miaka Mitatu Baada ya Kuhitimu.
Lakini Cha Ajabu Watu Wameanza Kunukuu Vibaya Na Kuanza Kupakazia Uongo Mitaani, Sijui tatizo ni lugha iliyotumika (Kizungu) imekuwa vigumu kueleweka?!
kusoma kote guidebook sijaona sehemu iliyoandikwa criteria ya dv1&2 na kama ipo u niambie ni pg ipiMkuu hao wengine inaonesha hata hiyo GuideBook hawajaisoma, bali wamehadithiwa tu!!! Ukweli Ni Kwamba Wanashindwa Kutofautisha Kati ya "LOAN (MKOPO), na GRANT (RUZUKU)"
Katika Guideline yao Hakuna Hata Sehemu Moja Waliyoandika Criteria (Vigenzo) vya Kupata Mkopo (Loan) Kuwa ni Div 1&2.
Bali (Criteria) Vigezo Vya Kupata Ruzuku (Grant) ndiyo Wameeka Div 1&2, au Kwa Wale Sifa Mbadala (Equivalent) Yaani "Diploma Holders) Wawe Na "Fist Class". Na Watalazimika Kufanya Kazi Tanzania Kwa Miaka Mitatu Baada ya Kuhitimu.
Lakini Cha Ajabu Watu Wameanza Kunukuu Vibaya Na Kuanza Kupakazia Uongo Mitaani, Sijui tatizo ni lugha iliyotumika (Kizungu) imekuwa vigumu kueleweka?!
wew soma lakin mkopo ni probability may be you should use fake certificate to support your document such as parent death certificateJe kwa mfano mtu kasoma arts na kapata division three na anataka asome education hapo inakuwaje mkuu
UsinichekesheYap sasa we usiposoma ukafaulu ukumbuke mama ndalichako na magufuli wapo na sheria zao za ajabu