Heslb wasalimu amri

Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
<br />
<br />
 
Ukiona hii post haieleweki toka na acha kuchangia....sisi tunayoelewa hata na inayotuhusu inatufaa.....
 
Hawa jamaa watakuwa wanaingza fedha zetu kwenye biashara zao nn? mbona mwaka jana bajet ndogo ilikidhi wanafuz 25000, leo hii bajet bil. 80 ziada mnakidh wanfnzi 23000, hii inamaanisha ni wana JF? karbuni mtoe maoni , maana mi waliposema bajet ni ndogo, hapo ndipo nilshndwa kuwaelewa.
 
Back
Top Bottom