leo nikiwa natoka ndani ya majengo ya TIRDO nimesimama nje pale kusubiria magari jamaa kama watatu hivi na dada mmoja walikuwa wakiongea nanukuu maneno yao "watu wansumbuka san nafasi hizi za kazi haoa heslb watu tayari wanafanyiwa training kwa nafasi hizo jamaa mmoja anasema yeye mwenyewe uncle yake alimwambia apeleke CV tu na picha 3 akasema anatarajia kuanza job next week jamani pccb mpo au ndo mnalinda maslahi yenu pia naomba pccb wafanye kazi