HESLB Posts mambo si mazuri applicants

Mwana UoA

Member
Nov 8, 2011
47
6
leo nikiwa natoka ndani ya majengo ya TIRDO nimesimama nje pale kusubiria magari jamaa kama watatu hivi na dada mmoja walikuwa wakiongea nanukuu maneno yao "watu wansumbuka san nafasi hizi za kazi haoa heslb watu tayari wanafanyiwa training kwa nafasi hizo jamaa mmoja anasema yeye mwenyewe uncle yake alimwambia apeleke CV tu na picha 3 akasema anatarajia kuanza job next week jamani pccb mpo au ndo mnalinda maslahi yenu pia naomba pccb wafanye kazi
 
zingne rumourz tu jaman
 
Duh! Kama hali ndo hii basi Watanzania tusilalamike kushuka kwa shilingi.maana utendaji mbovu ni kuanzia ngazi ya chini kabisa .hao PPCB unaowaomba ndugu yangu nao waliingia hivyohivyo sasa wewe unategemea nini??????????
 
Sio tetesi ni ukweli kabisa mimi ninawafahamu wanaotarajiwa kupewa kazi wapo tempo muda mrefu tu, tena ofisi zao zipo kwenye majengo ya tirdo mwisho kabisa jirani na walipopanga mahakama ya kata. Mbona hawa jamaa ndio zao kuna watu kibao wameshaingia kwa mtindo huo
 
Sio tetesi ni ukweli kabisa mimi ninawafahamu wanaotarajiwa kupewa kazi wapo tempo muda mrefu tu, tena ofisi zao zipo kwenye majengo ya tirdo mwisho kabisa jirani na walipopanga mahakama ya kata. Mbona hawa jamaa ndio zao kuna watu kibao wameshaingia kwa mtindo huo huwa ninatembelea sana hayo maeneo
 
Nilitaka kufanya application lakini basi ngoja niuchune 2.
 
Ni kwel.mi nliziona nafas lakn ckuhangaika hata kusoma qualifications 7bu najua michezo ya pale.anyway ili kuish kwa matumain bora kuapply msivunjke moyo
 
Akianani ninamachungu Kweli undugulization hautaisha Bongo Land da bac tu, natamani kuwa jambazi kwa machungu niliyonayo
 
u hv nothing to loose even u wont be selected but u dont have to give.
siku ya j3 ya 7/11 asbh nikiwa ubungo plaza nikipata breakfast,jirani na meza niliyokuwepo walikaa vijana wa3,wavulana 2 msichana 1na walikuwa na gazeti la kiingereza ingawa sikujua ni lipi,mmoja wao alikuwa analalamika kupelekwa sehemu asiyopenda hapo heslb,alikuwa anadai anataka loan allocation ila baba yake mdogo anamwambia anamuweka repayment na wkt huo nami nilikuwa nimepanga kukutana na jamaa zangu mchana ili tupeleke application zetu,nilivunjika moyo sana mpaka leo sijapeleka ila nimeona nipeleke kwani huenda nafasi ikawa imebaki hata 1 ambayo nami naweza kuipigania kwa maelfu ya watu waliotuma,hii kazi kwelikweli,tujiandae kuungana hata kwa mitaji midogo ili tujiajiri jamani
 
u hv nothing to loose even u wont be selected but u dont have to give.
siku ya j3 ya 7/11 asbh nikiwa ubungo plaza nikipata breakfast,jirani na meza niliyokuwepo walikaa vijana
wa3,wavulana 2 msichana 1na walikuwa na gazeti la kiingereza ingawa sikujua ni lipi,mmoja wao alanalalamika kupelekwa sehemu asiyopenda hapo heslb,alikuwa anadai anataka loan allocation ila baba yake mdogo anamwambia anamuweka repayment na wkt huo nami nilikuwa nimepanga kukutana na jamaa zangu mchana ili tupeleke application zetu,nilivunjika moyo sana mpaka leo sijapeleka ila nimeona nipeleke kwani huenda nafasi ikawa imebaki hata 1 ambayo nami naweza kuipigania kwa maelfu ya watu waliotuma,hii kazi kwelikweli,tujiandae kuungana hata kwa mitaji midogo ili tujiajiri jamani
Mie nawaambia watu hawanielewi kabisa hali tete hebu imagine watu wanatuhangaisha bure c bora wangeliawajiri hao watoto wa wenye nchi ila siku inakuja TZ panachimbika uvumilivu utakwisha tu hakuna jambo lisilo na mwisho labda watu ndo watashika adabu haswa ccm
 
mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh! sina hata cha ku comment jamani, maana nji (nipotezee) inakoelekea ni kubaya!
 
WE KAZI INAITAJI MTU AWE NA DEGREE YA ACCOUNTS, ARCHEOLOGY, FINANCE NA EDUCATION kwanza ni degree zisizoendana kabisa then hawakuitaji hata equivalent qualification ni hizo tu.... tusife moyo jamani ila siku moja tutaingia kwenye hizi ofisi na kwenda kuwatoa hata kwa nguvu.
 
Mie nawaambia watu hawanielewi kabisa hali tete hebu imagine watu wanatuhangaisha bure c bora wangeliawajiri hao watoto wa wenye nchi ila siku inakuja TZ panachimbika uvumilivu utakwisha tu hakuna jambo lisilo na mwisho labda watu ndo watashika adabu haswa ccm

Mmmh haya...Ukiona manyoya.......ujue kaliwa....!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom