Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,535
- 139,844
Sasa hivi ni saa 7 usiku nahangaika sio kupewa mkopo,ni kufanya maombi ya mkopo tu,kisa watu fulani wasio na utalaamu wamepewa majukumu wasiyoyaweza
Dogo amepewa ruhusa wiki nzima kambini jeshini mpaka ruhusa inaisha majibu ni yaleyale "Please wait,we are working with your request". Hawa wahuni walioshindwa kupata ufumbuzi wa tatizo dogo namna hii wanatafuta nini pale TILDO?
Haiwezekani mnashindwa kuhudumia watu wachache kiasi hiki,halafu mnajifanya mnaweza kutumia technology. Bongo wababaishaji wengi wapo maofisini. .Mmenikeshesha wiki nzima utadhani naitafuta mbingu