ububudu
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 266
- 414
Wangerudisha utaratibu wa Ku- apply offline kama tulivyokuwa tuna apply sisi miaka ya nyuma haya mambo ya online bongo bado sana, wanawatesa vijana wetu. Kipind kile Unalipia benki pesa unaenda na payslip posta then unapewa form unajaza, ikikamilika unatuma by ems to HESLB ukiwa umeambatanisha bank payslip. Mchezo kwisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app