heslb hawako makini

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
kuna kijana wa jirani yetu alidisco mwaka jana chuo flan huko mkoani morogoro,mwaka huu ameaply tena chuo lakn hakuapply mkopo ila cha ajabu heslb wametoa majina wamemweka kwenye category ya previous loanees,yani anatakiwa kuverify kwa heslb ili apewe bumu,je mtu anaweza kupata mkopo wakati hakuapply?
 
Hao watu hawako makini. Mimi sijasoma UD lakini nipo kwenye list ya wadaiwa, data zao zinaonyesha nilimaliza UD na sijaanza kulipa deni.
 
Back
Top Bottom