Ada umelipiwa sh ngap?Nifundisheni kucaculate asilimia
Chukua ada ya chuo uipe asilimia 100%,then uconvert hiyo ada utajua asilimia ngapi umepewa
Chukua Tu uliyopewa gawanya kwa ada unayopaswa kulipa zidisha mia mojNifundisheni kucaculate asilimia
Naomba contact nikutafute
Nachomuomba Mungu aniwezeshe ili watoto Mungu atakaonipa wasije wakapitia taabu hizi maana inasikitishaInasikitisha mno mkuu japo hujasema walikujibu nini ili tupate cha kukushauri.
Pia kama hutafanikiwa kwenye batch hii basi usikate tamaa kata rufaa maana wapo ambao hawakupata kabisa lakini walichomoka kwenye rufaa na kupata 100% mkopo.
Vuta subira mkuu naamini utapata si umeona mdau hapo juu amepata muda mfupi uliopita.Nachomuomba Mungu aniwezeshe ili watoto Mungu atakaonipa wasije wakapitia taabu hizi maana inasikitisha
Apo ni mtandao mkuuKwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
Mtandao endelea kuombaKwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
Sawa sawa bossMtandao endelea kuomba
Mtandao tu mkuu ucwaze.Kwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
Hata me ilikuwa inasoma hivyhivy, weee tulia ndo wanakupangia,Kwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
Kufikia kesho utakuta wameshaweka mzigo mkuu.dogo account yake imechange into SIPA siku ya nne sasa ila hakuna allocation , ukisikia kuchangia kwenda masomoni ndio huku
nishaanza kuhisi harufu ya kichapo kwa huyu dgoKufikia kesho utakuta wameshaweka mzigo mkuu.
Nawaza hivyo piaKwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
Usisubiri notification nyingine wewe ikifika tarehe ya appeal kata rufaa.Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
Vipi mkuu dogo alifanikiwa kupangiwa allocation?nishaanza kuhisi harufu ya kichapo kwa huyu dgo
Hujafanikiwa mkuu kupata mkopo?Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?