HESLB: Batch One Out Now

Mimi ni wait for final results
Mkuu leo ama kesho akaunti yako nina imani itasoma SIPA na allocation utaikita muda huo huo.

Kuna mdau humu ile batch 2 akaunti yake asubuhi ilisoma wait for final results halafu baada ya muda mfupi alivyo login akakuta imebadilika kuwa SIPA na hapo hapo akakuta allocations.

Kuwa na imani najua ndicho kinachoenda kutokea hata kwako.
 
Fact..Ni swala la kuwa na subira...kam Mim nikifikiria hiyo MD gharama kubwa alfu mpaka sasa holaa..nabaki kumwachia Mungu tyu😔
 
Amen mnanipa moyo sana.
Chuo nimeshindwa kwenda hata
 
Fact..Ni swala la kuwa na subira...kam Mim nikifikiria hiyo MD gharama kubwa alfu mpaka sasa holaa..nabaki kumwachia Mungu tyu
Kabisa mkuu tuwe na subira kufikia kesho mambo yatakuwa fresh naamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…