Usikate tamaa mkuu. Najua situation unayopitia ndugu yangu maana hali za watanzania wengi ni za chini kwahiyo bila support ya mkopo kwakweli kuendelea na masomo ni mtihani mgumu.Yani Kuna muda unatamani kulia sema ndio utu uzima kujikaza, nyumbani umeacha mzazi mgonjwa hadi kuomba hela aibu.
Yote heri lakini
Shida mkuu kuna mtu aliandikiwa hivi kisha akapangiwa mkopo?Weye tayari utapata!
Hongera sana,
Vuta subira kama walivyosema kabla ya tarehe 3
Ndo hivo sasa..Yan duuhMD na Mkopoo hujapataa?? Mbombo ngafuuu
AmiinUsikate tamaa mkuu. Najua situation unayopitia ndugu yangu maana hali za watanzania wengi ni za chini kwahiyo bila support ya mkopo kwakweli kuendelea na masomo ni mtihani mgumu.
Naamini Mungu atakuona na atajibu maombi yako kikamilifu ili utimize ndoto zako Amiin.
Tayari umepata subiri itasoma.Akaunti yangu imebadilika kuwa SIPA ila nikiangalia allocation wanasema "No approved allocations available for S........"
Hii inamaanisha nini wakuu?
chief itasoma lini ,aiseehTayari umepata subiri itasoma.
Account zote ndiyo zinavyo kuwa mara ya kwanza tokea batch 1, baada ya muda itabadilika na kuonyesha allocation.Pia naomba kuuliza humu kama kuna akaunti ya mdau ilibadilika kuwa SIPA lakini alipoangalia allocation akakutana na statement "No approved allocations available for....." halafu baadae akaja akakuta amefanyiwa allocation ya mkopo.
Kama mtu aliyekutana na situation hii yupo na baadae akafanikiwa anipe muongozo.
Pamoja sana mkuu.Tayari umepata subiri itasoma.
Tafuta tu adaKuna matumaini kweli kwenye hii sentesi "wait for final results"
Daaa sijuhi itakuwajeTafuta tu ada
Hope itakuwa leo maana walisema kabla ya tarehe 3.Kabla ya tarehe 3,maana yake Ni Leo au
Hata last time walisema kabla ya tarehe 27 ikafika tarehe 27 jioni ndio wakatoaHope itakuwa leo maana walisema kabla ya tarehe 3.
Basi tusubiri hadi hiyo kesho Ijumaa tuone itakuwaje?Hata last time walisema kabla ya tarehe 27 ikafika tarehe 27 jioni ndio wakatoa
hawakusema kabla mkuu,walikua very specific trh 27 mzigo ukatokaHata last time walisema kabla ya tarehe 27 ikafika tarehe 27 jioni ndio wakatoa
Hata mimi nakumbuka walisema tarehe 27 tofauti na statement ya sasa walisema kabla ya tarehe 3.hawakusema kabla mkuu,walikua very specific trh 27 mzigo ukatoka
Mimi ni wait for final resultsBasi tusubiri hadi hiyo kesho Ijumaa tuone itakuwaje?
Kwani mkuu akaunti yako bado haijawa SIPA?
Walisema before 27Hata mimi nakumbuka walisema tarehe 27 tofauti na statement ya sasa walisema kabla ya tarehe 3.