Bonyeza menu iko upande wa kushoto juu kabisaIli uone kama umepata au lah ukisha log in unaenda wapi? Mdogo wangu hajui chochote
Sipa mbona siooni hapo mkuu, Nisaidie tafadhaliBonyeza menu iko upande wa kushoto juu kabisa
Itakuletea options nyingi halafu chagua SIPA
kisha chagua allocation
Nenda kachague mwaka ambao utakuwa ni 2023/2024 kisha search uone
Aujapangiwa ukipangiwa lazima utaiona kaa kwa kutulia ndugu yangu tusubilie final result Kama wenyewe wanavosema final resultSipa mbona siooni hapo mkuu, Nisaidie tafadhali
Hizi process mbn sizijui, account si ni ileike inabadilika yenyewe wakuuBonyeza menu iko upande wa kushoto juu kabisa
Itakuletea options nyingi halafu chagua SIPA
kisha chagua allocation
Nenda kachague mwaka ambao utakuwa ni 2023/2024 kisha search uone
Yeah usiwe na presha, account hyo huwa inabadilika yenyewe ukipangiwa mkopoHizi process mbn sizijui, account si ni ileike inabadilika yenyewe wakuu
kuna wale wameiona sipa ,ila no loan shida nini wakuu??Aujapangiwa ukipangiwa lazima utaiona kaa kwa kutulia ndugu yangu tusubilie final result Kama wenyewe wanavosema final result
Hujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.Batch3 ndiyo ya mwisho walibakia kama wanafunzi 4300 ambao wamewekewa kuanzia juzi. Jumla wanufaika wanakuwa 75 elfu pamoja na continues wachache hawafiki ata 100.
Yeah ni ivoivo walivosemaHujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.
Batch 3 walisema itatoka kabla ya Novemba 3.
Baada ya batch 3 ndo wataanza ku deal na continueos.
Baada ya kutangaza batch ya pili Ijumaa iliyopita je, wale wote ambao account zao zilikuwa zinasema "....wait for final results" hadi kufikia jioni hii leo Jumatatu allocation ya mkopo inaonekana au kuna wengine ambao account zao bado zinaonyesha ujumbe ule ule wa ".... wait for final results"?Hujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.
Batch 3 walisema itatoka kabla ya Novemba 3.
Baada ya batch 3 ndo wataanza ku deal na continueos.
Ujumbe ni huo huo wait for finalBaada ya kutangaza batch ya pili Ijumaa iliyopita je, wale wote ambao account zao zilikuwa zinasema "....wait for final results" hadi kufikia jioni hii leo Jumatatu allocation ya mkopo inaonekana au kuna wengine ambao account zao bado zinaonyesha ujumbe ule ule wa ".... wait for final results"?
Batch 2 walimalizana nao 27th mchana na hao 4300 ndiyo wanaendelea kumalizana nao pamoja na continues so tar3 itakuwa siku ya kutangaza dirisha la ku appeal na jumla ya wanufaika.Hujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.
Batch 3 walisema itatoka kabla ya Novemba 3.
Baada ya batch 3 ndo wataanza ku deal na continueos.
Okey,.shukrani..Batch 2 walimalizana nao 27th mchana na hao 4300 ndiyo wanaendelea kumalizana nao pamoja na continues so tar3 itakuwa siku ya kutangaza dirisha la ku appeal na jumla ya wanufaika.
Walio omba mkopo ni zaidi ya 250,000 wanafunzi wa degree ya kwanza hapo namaanisha Form six leaver na Diploma holder. Hivyo kama bado account yako haijabadilika adi muda huu tafuta njia nyingine kuna maombi 175,000 yatatemwa.
Soo kweli kwamba eti wanafunzi wa first year pekee walioomba ni zaidi ya 250,000.Batch 2 walimalizana nao 27th mchana na hao 4300 ndiyo wanaendelea kumalizana nao pamoja na continues so tar3 itakuwa siku ya kutangaza dirisha la ku appeal na jumla ya wanufaika.
Walio omba mkopo ni zaidi ya 250,000 wanafunzi wa degree ya kwanza hapo namaanisha Form six leaver na Diploma holder. Hivyo kama bado account yako haijabadilika adi muda huu tafuta njia nyingine kuna maombi 175,000 yatatemwa.
Subiri final results kama statement inavyojieleza.Okey,.shukrani..
Account ya dogo bado haijabadikika!
So assumption ni amekosa.
Boss PM yangu inasumbua. Jf wanataka tuchat kwa thread. Ulikua na ujumbe gani?Majibu ya wanufaika ktk category ya Postgraduate yatatoka lini
na ambao imechange into sipa,ila haiwaoneshi loan mkuu, tatizo nn?Batch 2 walimalizana nao 27th mchana na hao 4300 ndiyo wanaendelea kumalizana nao pamoja na continues so tar3 itakuwa siku ya kutangaza dirisha la ku appeal na jumla ya wanufaika.
Walio omba mkopo ni zaidi ya 250,000 wanafunzi wa degree ya kwanza hapo namaanisha Form six leaver na Diploma holder. Hivyo kama bado account yako haijabadilika adi muda huu tafuta njia nyingine kuna maombi 175,000 yatatemwa.
Imelala yoohBatch 2 walimalizana nao 27th mchana na hao 4300 ndiyo wanaendelea kumalizana nao pamoja na continues so tar3 itakuwa siku ya kutangaza dirisha la ku appeal na jumla ya wanufaika.
Walio omba mkopo ni zaidi ya 250,000 wanafunzi wa degree ya kwanza hapo namaanisha Form six leaver na Diploma holder. Hivyo kama bado account yako haijabadilika adi muda huu tafuta njia nyingine kuna maombi 175,000 yatatemwa.
Huyu afurahi kabisa,na ambao imechange into sipa,ila haiwaoneshi loan mkuu, tatizo nn?