HESLB: Batch One Out Now

Wakuu na wazoefu, hv hili boom huwa wanaligawiaje kwa mwanafunzi husika ningependa kujua
 
Hzo awamu ni kila mwez au ni vp yn
Wajuzi wanasema ni kila baada ya siku 60 yaani miezi miwili , ndo maana unapewa laki 6 yani elfu 10 kwa kila siku kwa siku 60

Kuna ongezeko la Tsh 1500/= kwa mwaka wa masomo 2023/2024 maana zamani ilikua ni Tsh 8500/= kwa siku

Mimi nilikua tu nahitaji kufahamu je boom hutolewa baada ya muda gani baada ya kujisajili chuoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…