Michaeljoas
Member
- Aug 28, 2020
- 52
- 48
Minasoma Md muhas mwaka wa nne nabado sijapataMuwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Wahuni heslbMimi nilikamilisha mwezi was nane mwishoni na chuo nilipata awamu ya kwanza lakin still holaaaaaaaaa
Ni sahihi. Wapo waliotuma maombi ya chuo dirisha la nne na walikamilisha kutuma maombi HESLB Oktoba lakini tayari wameshapata allocation.Mie dirisha la pili mpaka sahii sijaona kitu
Course yng ya Information system management kwamba haina priority na ni ya tehama science?Muwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Mzee hakuna cha course za kipaumbele wala nini kuna watu wanaenda kusoma MD, engineering na kadhalika lakini wamepata mkopo kiduchu kwenye ada kuliko hata mtu anayeenda course zisizo za kipaumbele.Muwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Afu mtu anakuambia coz za priority sijuiWahuni heslb
Yaani ni kujidanganya tu kwamba sijui wanazingatia course za kipaumbele hakuna kitu kama hicho.Minasoma Md muhas mwaka wa nne nabado sijapatacourse priority nina question
Kama amepata ataongezewa asiwe na hofuYaani ni kujidanganya tu kwamba sijui wanazingatia course za kipaumbele hakuna kitu kama hicho.
Mdogo wangu anasoma MD kachaguliwa MUHAS lakini kapata ada kiduchu kuliko hata wasio na course za kipaumbele.
Mwingine alichaguliwa kwenda Muhas mwaka jana alipata ada kidogo sana na hakuongezewa hadi leo anaingia second year.Kama amepata ataongezewa asiwe na hofu
Alipie tu kilichobaki na appeal most wa muhas wanaongezewa lakin kamq hukupata kabisa icho ni kipengele
Duuh maana kulikuwa na refund more than 550+ students wameongezewa muhasMwingine alichaguliwa kwenda Muhas mwaka jana alipata ada kidogo sana na hakuongezewa hadi leo anaingia second year.
Hilo la kuongezewa ni blah blah tu ila ukweli ni kwamba wanataka kila muombaji mwenye sifa apate mkopo japo kiasi fulani.
Pole sana kijana. Mungu atakusimamia. Nimejisikia vibaya sana kwa huu ujumbe wako.Yani registration mwisho ijumaa ijayo.
Sina hata mia Niko tu na nauli za kutoka kwenda kushangaa wenzangu
MarekebishoMwaka huu kuna wanafunzi 75,000 walioomba mkopo mwaka wa kwanza undergraduate na kufikia sasa waliopata ni almost 70,000 bado kama 5,000 tu.
Yaani watoe mkopo kwa wanafunzi zaidi ya 70,000 waje wakwame kuwapa 5,000 waliosalia?
Bado wanaendelea na uchambuzi na kufanya allocation ndiyo maana wakasema kabla ya Novemba 3 watakuwa wametoa orodha ya wanafunzi wasiozidi 5,000 waliobaki kwakuwa ni wachache.
Kwaio hapo nisubiri batch ya mwishoMarekebisho
Hapana walioomba ni takribani 100K+ ila lengo la HESLB ni kutoa ufadhili kwa wanafunzi wapya 75K
Sa laki 2 ndio nnMzee hakuna cha course za kipaumbele wala nini kuna watu wanaenda kusoma MD, engineering na kadhalika lakini wamepata mkopo kiduchu kwenye ada kuliko hata mtu anayeenda course zisizo za kipaumbele.
Hilo nina uhakika nalo wala sio story za kuambiwa nina ndugu na marafiki walioomba.
Mkopo unatolewa sijui ni kwa bahati tu ama vipi maana kwenye ada wengi wamepangiwa 230,000 nadhani ni kwasababu bodi ya mikopo inataka kuhakikisha kila muombaji wa mkopo anapata mkopo.
Naona wameamua kuitoa "wait for allocation" na kuja na "wait for final result"Kwaio hapo nisubiri batch ya mwishoView attachment 2795560
Status ya account ikoje?Zipi hizo au MD..maan mim nimepat MD na wanangu wengine lakin wote holaaaaa.. hhhhhhhh huu mwaka..kwel unatakiw uwe optimistic kwelikweli
Wait for allocationStatus ya account ikoje?
Wanangu wametoa ile message wameeka hii
"Your application is being processed. Wait for final results"
Hawa jamaa wanakupuliza alaf wanakungata