Sidhani hii kma ni kweliKuna mdau aliniambia kwamba huenda bado zoezi la allocation likaendelea leo kwahiyo kama akaunti yako bado inasoma wait for allocation process huenda leo ikabadilika kuwa SIPA na kupangiwa mkopo.
Good news ni kwamba kila aliyeomba na taarifa zake zikahakikiwa zipo sawa basi atapata mkopo kwasababu fedha mwaka huu imetengwa yakutosha hakuna atakayekosa.
Muda wa matumaini umeisha kiongoz,Kuna mdau aliniambia kwamba huenda bado zoezi la allocation likaendelea leo kwahiyo kama akaunti yako bado inasoma wait for allocation process huenda leo ikabadilika kuwa SIPA na kupangiwa mkopo.
Good news ni kwamba kila aliyeomba na taarifa zake zikahakikiwa zipo sawa basi atapata mkopo kwasababu fedha mwaka huu imetengwa yakutosha hakuna atakayekosa.
Alikamilisha tarehe 11/10Alikamilisha process zote lini Mara ya mwisho
Kivipi yaani!Muda wa matumaini umeisha kiongoz,
Wewe ulikamilisha kutuma maombi HESLB lini?Muda wa matumaini umeisha kiongoz,
Mwaka huu kuna wanafunzi 75,000 walioomba mkopo mwaka wa kwanza undergraduate na kufikia sasa waliopata ni almost 70,000 bado kama 5,000 tu.Sidhani hii kma ni kweli
Sawa tuwe na subiraKivipi yaani!
Wamekwambia batch 3 itatoka kabla ya Novemba 3 wewe ulitaka iweje?
Miaka mingine batch zinakuwa hadi 4 sasa wasiwasi wako nini maana waliobaki kupangiwa ni kama watu 5,000 tu hivi.
Maombi ya mkopo nmekamilisha tareh mbili mwez huu wa 10, na udahili wa chuo nilipata kwenye round ya 3 na nilishaconfirm admission kitambo tuWewe ulikamilisha kutuma maombi HESLB lini?
Na ulidahiliwa dirisha la 1,2,3 ama 4?
Uli confirm chuo kimoja lini kama ulikuwa na multiple selections?
Mie dirisha la pili mpaka sahii sijaona kituWewe ulikamilisha kutuma maombi HESLB lini?
Na ulidahiliwa dirisha la 1,2,3 ama 4?
Uli confirm chuo kimoja lini kama ulikuwa na multiple selections?
Mimi nilikamilisha mwezi was nane mwishoni na chuo nilipata awamu ya kwanza lakin still holaaaaaaaaaSwali zur ht mm Nina swali la namna hii, ndio maana nkauliza hv kuwahi kutuma maombi ya mkopo ndio inakupa nafac ya kuwahi kujibiwa au lah?
Muwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..Mimi nilikamilisha mwezi was nane mwishoni na chuo nilipata awamu ya kwanza lakin still holaaaaaaaaa
Sawa heslb officer Soma wewe zenye kipaumbeleMuwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Wako wapi hao mamluki?humu kuna machawa wa bodi wamekuja kupotosha watu
pitia hapo juu, ana hadaa watuWako wapi hao mamluki?
Zipi hizo au MD..maan mim nimepat MD na wanangu wengine lakin wote holaaaaa.. hhhhhhhh huu mwaka..kwel unatakiw uwe optimistic kwelikweli 😂Muwe mnasoma na course priority, kuna kozi kupata mkopo ni ndoto..
Yani alichosewa ni sawa ila angeuliza Kama mtu unasoma coz ya first priority au la mimi binafsi nasoma coz ya afya na chuo nilipata awamu ya kwanza na maombi nilikamilisha mwezi wa nane mwishoni lakin bado am not the future inaumiza kwakweli sijui vigezo vinavotumika ni vipiZipi hizo au MD..maan mim nimepat MD na wanangu wengine lakin wote holaaaaa.. hhhhhhhh huu mwaka..kwel unatakiw uwe optimistic kwelikweli
Asikudanganye mtu hakuna cha priority wala nn huo mkopo ni bahati tu.Zipi hizo au MD..maan mim nimepat MD na wanangu wengine lakin wote holaaaaa.. hhhhhhhh huu mwaka..kwel unatakiw uwe optimistic kwelikweli 😂