hawajamaa upigaji mwingi sana, mzee magu kipindi changu aliwambia bodi watoe mikopo kwani pesa yake haijaisha bado .baada ya wanaharakati kutupigania sana
Sababu za kuwahi na kuchelewa ni zipi?
Kuna form ya dogo uki review kuna sehemu inasema attach signed pages pana ka tick na rangi ya njano sio green kama zingine.
Inaweza ikawa sababu ya dogo kuchelewa kupata?