HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Attachments

  • Screenshot_20231020-160633.png
    Screenshot_20231020-160633.png
    34.8 KB · Views: 49
Batch one n watu wa category ipi? Kuna wa postgraduate ambaye amepata?
Utaratibu wa bodi wa mwaka huu duuu,
siku za nyuma ilikuwa bodi inatoa taarifa kwanza kwamba watu kadhaa wamepata mkopo,then mkiingia kwenye account kama ujapangiwa unaambiwa ujapangia ila subiri tareh flani ila mwaka huu mara wengine tiyar wengine mkiangalia account ukumbe ni ule ule
 
Back
Top Bottom