sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,041
- 48,155
hahahahhhaha kwani ukiwa MMU lazima uwe na girl au Men wako? mbona sasa mimi nimechelewa??? nani atanitafutia jaman Sumbai
Umechelewa mnoo...
subiri tuu pm zikianza kujazana
hahahahhhaha kwani ukiwa MMU lazima uwe na girl au Men wako? mbona sasa mimi nimechelewa??? nani atanitafutia jaman Sumbai
Momba ni kifupi cha mombasa? Au Momba ndio hivo hivo tu jina limekamilika....?!
Picha tafadhali.
mgeni karibu
karib ila uliza choo cha humu kiko wap usitaabike