Heshima yenu wakubwa mimi ni mgeni

Heshima yenu wakubwa mimi ni mgeni

mombaboy ushapata gF hum MMU? Kama hujapata sema tukutafutie
 
Last edited by a moderator:
Teh teh ndio maana kuna mtu alijiuliza kuhusu hili jina, Momba ni jina la wilaya ninayotoka mkuu chipolopolo 2

Mgeni upo juu unajua kuquote na kumention pia afu umechangamka duh karibu sana
Poa nkajua ni mombasaboy....karibu Fanta
 
Last edited by a moderator:
Duhh huo u sauzi Afrika umetoa wapi Paulo? ubaguzi umeanza lini? mkaribisheni kwa upole bhana kwani wote humu wapole.
Haha mbona nimemkaribisha fresh tu. Nimewapa mwongozo watakaokuja nyuma yake.

Wewe nani alikukaribisha?
 
Back
Top Bottom