Heshima ya Rais ni zaidi ya profesa, Dr, nk

Heshima ya Rais ni zaidi ya profesa, Dr, nk

mbele ya tittle inayoitwa rais, hivyo fivitaito vingine ni takataka tu.
hakuna cha prof wala cha dokta wala cha nani. zote ni takataka tu na zinawajibika kwa rais. sionagi hata cha maana kinachowatuma kumkejeli Kikwete na hivyo vitaito uchwara mbele ya tittle ya Rais na Amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

OriginExpand

Middle English

Anglo-French

Middle French

Latin

Kumezoeleka katika mada, matangazo, taarifa, habari, uandishi, uchambuzi na kadhalika kuanza na President Dr. Kikwete, au Profesa President Dr Kikwete, ni makosa kitaaluma na maana halisi ya nafasi, maana, mazingira ya matumizi ya majina hayo ya heshima. Pengine ukimya wa Rais kutotoa mwongozo na kubaki kukubaliana na kuitwa hivyo dalili kwamba anapendelea hivyo lakini ukweli ni upotoshaji mkubwa wa maana, nafasi ya matumizi sahihi ya majina ya heshima.

Viongozi hawa wakitajwa moja kwa moja majina yao halisi bila majina ya utambulisho wa nafasi na majukumu yao hapo majina ya hashima hutangulizwa kabla ya jina lake kama Horn Kikwete, Dr Kiwete, Professor Kikwete nk.

President ni cheo na heshima ya juu zaidi katika nchi. Hakuna jina wala hadhi ya heshima zaidi ya kuwa mkuu au kiongozi wa nchi. Nilishaongelea mada hii huko nyuma lakini ni kukumbushia tu vinginevyo tunaonekana mbumbumbu kabisa, na hata Rais mwenyewe kukubali hivyo anaonekana kutokuwa makini, nakumbuka Nyerere alikataa katakata kutokana na uelewa wake na hakuna aliyethubutu kumwita hivyo.

Inaingia akilini

  • Mufti wa kiislamu umwite Mheshiniwa Mufti?
  • Cardinali umwite Mheshimiwa Kardinali?
  • Shekhe umwinte mheshimiwa shekhe?
  • Askofu umwite mheshimiwa Askofu?
  • Imamu umwite mheshimiwa Imam?
  • Padre umwite mheshimiwa Padre?

Wanasiasa wanaonekana elimu hii imewapiga kikumbo ndio maana utaona kama ifuatavyo
Mheshimiwa Mbunge, Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa makamu wa rais, mheshimiwa Katibu Mkuu, mheshimiwa mkuu wa wilaya. Wabunge ndio kabisa wamevimbishia mishipa kuitwa waheshimiwa. Mheshimiwa spika wa bunge, speaker ni heshima ya juu kabisa bungeni na hakuna zaidi yake, lakini imezoeleka hivyo, ila ni jambo linalohitajika kufanyiwa kazi.

Wanaopendelea na kufurahia kuitwa hivyo dhahiri hawajaelimika na tunahitaji kuwaelimisha. Ndio maana nyumbani baba ataitwa baba na mama ataitwa mama si mheshimiwa mama au mheshimiwa baba.
 
Kikwete shule hakuna..hata uwezo wa kuongea English hana.ukimsikia akiongea English ni aibu! Hata form 2 aliyefeli ana afadhali. Kwa hiyo tusimlaumu kikwete maana lugha ya kigeni haipandi so nchi zilizo endelea wanalitambua hilo ndio maana wao wana mpachika majina na yeye anafurahi..mtu kama obama ana PHD tena ya Harvard lakini anaitwa president Obama sio Dr professor Obama.
Ni vituko na vichekesho

tena wangempa hata leo. maana kwa miundombinu aliyojenga hapa nchini nadhani wanachelewa.
 
Kwa namna mtoa mada alivyotoa sidhani kama Dr. Slaa angekuwa rais wa nchi hii angeandika hii thread.

kifupi ni kwamba lets focus on our daily life and works that gives us the earns to full fill our needs
 
wivu tu unawasumbua nyie bawacha.
na mtahangaika sana ila Kikwete ndo rais wanu. chochote atakachoamua lazima kiwaathiri nyie na waume zenu kwa namna moja au nyingine. nyie endeleeni kubaki hukohuko kwenu kuzimu. ...bafu zetu.

Kikwete shule hakuna..hata uwezo wa kuongea English hana.ukimsikia akiongea English ni aibu! Hata form 2 aliyefeli ana afadhali. Kwa hiyo tusimlaumu kikwete maana lugha ya kigeni haipandi so nchi zilizo endelea wanalitambua hilo ndio maana wao wana mpachika majina na yeye anafurahi..mtu kama obama ana PHD tena ya Harvard lakini anaitwa president Obama sio Dr professor Obama.
Ni vituko na vichekesho

JK = Mangungo wa Msovero.
 
Kwa namna mtoa mada alivyotoa sidhani kama Dr. Slaa angekuwa rais wa nchi hii angeandika hii thread.

kifupi ni kwamba lets focus on our daily life and works that gives us the earns to full fill our needs

Waandishi wa habari ndo wanaotakiwa kuelimishwa sababu ndio wapotoshaji wakubwa na wasiojua maana na matumizi sahihi ya majihi ya heshima na nafasi za kuyatumia.

Rais kama rais kwa nafsi na uzito alio nao huwezi kulinganisha na nafasi ya heshima ya uprofesa wa wanaofundisha vyuoni, ni hadhii ya juu kabisa na kuongeza jina lingine la heshima zaidi ya rais ni kumshusha hadhi yake.

CC; Abunuas
 
Tunapenda vyeo vya kitaluuma katika nchi hii na bahati mbaya in most cases hatuna mfumo rasmi wa kutumia. Wengi hufurahia kuitwa dr kwa mfano na bahati mbaya hulazimisha. Huu ndio msingi wa wale wanaopata degree feki-kama wale walioitwa mafisadi wa elimu. Mabwana waganga na watu wa maabara sasa wanajiita madokita. Mfumo wetu haueleweki. U-professor nao ni dili hata kama mtu ameacha academic position yake sisi tunang'ang'ania hiyo title. Labda TCU waje na mwongozo hapa.

Kwa mfumo wetu ni juu ya Raisi kuamua mwenyewe atumie title zipi. JNK alikuwa nazo nyingi za heshima lakini yeye alipendelea kuitwa Mwalimu. JMK atapima mwenyewe na nina hakika anawashauri wake wanaompa ushauri-kama ametunukiwa ana haki ya kutumia. Itabidi kumuuliza Salva offical title ya JMK ni ipi kama kuna sintafahamu. Lakini Mr. President, Mhe. Raisi, wengine walitumia Ndg. Raisi ndio cheo na heshima kuu na ndi stahiki yao.
 
Matumizi ya majina ya vyeo kitaaluma ni halali, lakini yana nafasi, na namna ya matumizi, wengi wanahitaji kuelimishwa hasa vyombo vya habari ambavyo vinaonekana kukosa weledi katika matumizi ya majina ya heshima nafasi yake ili kutoleta mkanganyiko tukaonekana watanzania tu wazuzu.

Kwa mfano pale Rais Kikwete anapotajwa au kuandikwa kwa cheo na hadhi yake "Rais" si halali kutanguliza au kufuata jina la ziada la heshima maana hadhi ya cheke inampambanua ni nani na hakuna aliye na hadhi kama hiyo wakati yeye yupo katika nafasi hiyo.
 
Taifa letu linarudi nyuma sasa hivi kwasababu ya kuongezeka kwa wasomi na elimu ya juu. Vyuo vinatema maamuma waliokubuhu (wasomi wa sasa)bila huruma. Unfortunately we can never change because its genetic and as time goes by its intensifying. Most of the so called learned people in bongo are useless hopeless and helpless. Damn it! Let this post not distruct my focus in carrying boxes here in the morning. Nitakomaa kubeba boksi na diploma yangu. Nyambaff zetu!!!

It's not genetic, you are wrong. Ni matokeo ya mfumo mbovu wa utawala au uongozi kama ukipenda. Ni siasa chafu badala ya siasa safi inayosababisha haya madudu tunayoyaona. Kimsingi serikali imeshindwa kusimamia mfumo wa elimu kwa hiyo wafanyabiashara wanafanya biashara zao kwa kisingizio cha elimu. Genetics does not come in here. Tusisingizie genetics kwa mambo ambayo ni ya makusudi na ya uzembe.
 
Kutumia PhD au Uprofesa wa heshima katika majina ni ushamba. Na wanaomuita Mheshimiwa Rais Profesa J Kikwete nao ni washamba. Wabongo tunapenda sana kujikomba, sishangai sana ninapoona address ya ikulu yetu ilibadilishwa kuwa 1 Barack Obama Drive, na kuzinduliwa Obama alipokuja nchini.
 
Back
Top Bottom