Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,065
- 18,037
Sijui kama unaelewa kinchoongelewa hapa, tafuta mahala popote useme ni wakina nani wanajiita wa "NAIJA"
Nenda tena google ulete mrejesho wa "Naija" linawakilisha watu gani. Nitasubiri
Hata kama wanaojiita ni wanigeria pia wanakosea, na ni ushamba wa hali ya juu. Mwarabu au mzungu hawezi jiita upuuzi kama huu tunaoufanya waafrika. Algeria, Nigeria na Niger ni nchi 3 tofauti.But mwarabu anaakili hakuamua kujiita Niger.
Unaweza ukawa uko sahihi, hoja yng unamkosoa vipi mtu? Unaweza kukosoa kwa namna ambayo unajiaibisha na hiyo inapelekea kujivunjia heshimaTukiweka ushabiki mandazi pembeni faiza kawzidi mbali sana kwa maarifa. Sikatai kila binadamu ana mapungufu yake. Lkn kiukweli huyu mnaemuita bibi FaizaFoxy kawazidi mbali. Sema tu ishazoeleka akimsahihisha mdau humu mnatokwa povuni hayo tu chief wangu
Kijana fanya editing usichanganye "Wanaija" na "Wanaijeria".
Niger na Nigeria ni nchi mbili tofauti barani Afrika.
Hizi shule mzigo za kulazimishwa "mtoto amka uende shule" ni majanga.
Ulisomea ujinga eenh?
Nogambaki mulangira?Wanaijeria ni watu hatari sana katika nchi fulani. Maana bihashara nyingi wazifanyazo zinakuwa na mambo mengi wizi wa kutumia bunduki na bihashaara ya madawa ya kulevya
We jamaa unilipe kwakweliMbona tuliandamana kudai ndege ubarozini kwao
Wanaijeria wanajiita wanaija kutokujua kwako kusionekana ni kutokujua kwa wengine pia
Sisi tumeelewa wewe poyoyo endelea kukosoa
Mkuu,
Niger=Naija na itabakia kuwa nchi
Nigeria=Naijeria na itabakia kuwa nchi.
Waswahili 2nakwama wapi lakini? Hata Niger na Nigeria tu tunashindwa kuzitofautisha!!!
Ebu bwana musimfanye trump aendelee kuwaita Shit hole ni aibu sana jamani
Hata kama wanaojiita ni wanigeria pia wanakosea, na ni ushamba wa hali ya juu. Mwarabu au mzungu hawezi jiita upuuzi kama huu tunaoufanya waafrika. Algeria, Nigeria na Niger ni nchi 3 tofauti.But mwarabu anaakili hakuamua kujiita Niger.
Na wamesoma sanakuna kabila moja linaitwa igbo, hao ndio waafrika wenye IQ kubwa kupita wote.
Naija na niger ni vitu viwili tofauti.
Tuwatendee haki, walio wengi ni watu wema. Wachache wao wanaofanya huo uovu, kisiwe kielelezo cha kuwa wote ni waovu. Let us change our mindsets towards Nigerians. Ule msemo wa wahenga wetu, kuwa "SAMAKI MMOJA AKIOZA WOTE WAMEOZA" zama zake zimepitwa na wakati. Kwa nyakati zetu, mtenge alioza, walio wazuri endelea nao.Wanaijeria ni watu hatari sana katika nchi fulani. Maana bihashara nyingi wazifanyazo zinakuwa na mambo mengi wizi wa kutumia bunduki na bihashaara ya madawa ya kulevya
Huwa sikisii. Kumbuka hilo.
Sasa sikiliza inatamkwa vipi. Bofya link halafu Bofya alama ya "speaker" usikie Niger inatamkwa vipi.
https://www.thefreedictionary.com/Niger
Wanaijeria ni watu hatari sana katika nchi fulani. Maana bihashara nyingi wazifanyazo zinakuwa na mambo mengi wizi wa kutumia bunduki na bihashaara ya madawa ya kulevya
Hayupo sahihi.Wewe ndo mjinga jamaa yupo sahihi
Hayupo sahihi.
Kwanza angekuwa sahihi asingetumia Wanaija na Wanaijeria katika post hiyohiyo moja. Ni upunguani tu.
Pili ni kama vile mtu mweupe akimuita mtu mweusi Nigger ni tusi lakini mtu mweusi akimuita mtu mweusi mwenzake ni sawa.
Nafahamu viwango vyenu vya elimu ni shida sana.