Heshima kwa Wanaija

Nchi
Viongozi wengi wa kiafrika ni wanafiki sana,hawaambiani ukweli
 
Naija ni kifupisho cha Nigeria sasa hiyo Niger imetoka wapi?
Sikushangai kwani nafahamu ni kiwango tu cha shule uliyosoma.

Leo umebahatika kwa kufaidika na darsa la FF.

Elewa kuwa kuna nchi inaitwa Niger. Bofya link uisome👇🏾👇🏾

 
Ata simu yangu imeniambia naija.ila siamini ni beberu wakike kaniambia.[emoji23][emoji23][emoji23].mi mwenyew nmepata somo.Faiza foxy[emoji1666]
Sikushangai.

Kwa kuelewa kuwa Watanzania wengi wa kizazi kipya wameanza kujiunga na JF na wana mengi sana ya kujifunza, nikaamua kuanzisha uzi ambao upo kwa muda sasa na watu wengi sana wanafaidika sana humo kwa mambo mengi tu ya "general knowledge". Jisomee na kama una swali lolote linakutatiza uliza tu...

 
Jamaa ni manunda sana ila ajabu wanaongozwa na rais mdhaifu kwelikweli mpaka kuna kipindi trump alimuita lifeless
Yule General ni gaidi balaa wamemkuta tu sa hivi uzee unasumbua,akiwa rais kwny 1980's alishawahi kushirikiana na waisrael Kumsafirisha waziri wake wa fedha aliyekimbilia UK kwa kumuingiza ndani ya bag na kumsafirisha kama mzigo/furushi bahati mbaya tu waliwahiwa pale Airport.
 
Ajuza menopause inamsumbua hizo slang hawezi elewa chochote.
 
Kwani kinachoongelewa ni nchi ya Niger au Naija? Upo Sawa lakini maana naona mind yako ishachanganya mafile relax kwanza maybe utajua kinachokusumbua.
 
Niger = Naija
Nigeria = Naijeria

Upo hapo ulipo?

Ubishi wenu ndiyo maana mnaishia kuwa mapoyoyo.
Unapokuwa mbishi afu unatumia hisia zaidi kuliko uelewa lazima uanze kutoa kauli za kashfa na chuki. Be humble twende taratibu mwisho wa picha utaelewa nachosema
Najua unapenda Wikipedia na unaiamini nenda kasearch neno NAIJA then njoo na ulichokipata tuendeleze mjadala wenye logic zaidi.
 
Umemshika bibi pabaya teh teh
 
Hilo si tatizo nadhani hapa siyo "audience" ya Wanaijeria. Au hilo nalo gumu kwako kulifahamu?

Si kila ujinga wa kuiga. Nyie ndiyo wale mnaovaa suruali chini ya makalio mkaiga mkiona ni fashion kumbe wenzenu walikuwa wanatangaza chupi za mashoga.
Tatzo hukubaligi kushindwa
 
"Wanaija" ni Slang inayotumika kitaa kumaanisha Wanaijeria
Labda kwa sababu ya utu uzima wako uko out of touch na lugha hizi

Kaulize mtu yeyote wa kisasa, akueleze watu wanaposema NAIJA wanarefer nchi gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umempatia haswa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…