Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
nba.jpg
Mimba ya miezi 8 lakini akakumbushia kipaji chake cha kucheza kikapu.
 
Heshima kwake maana wengine wakifikisha miezi hiyo wanakuwa hoi bin taaban sijui yeye kaweza vipi ..
 
Labda kama anachezea nchi ya kusadikika kama bongo. Marekani hiyo kitu haiwezi kutokea.
Onion news ni jokes people!!!
 
Hahaha unanikumbusha theories za kitaa. Eti mtu akitoa mimba kondo la nyuma linagonga kwenye ubongo afu anakufa. As if kuna barabara kutoka kwenye uterus hadi kwenye brain hehehe
Labda imevimbia na mgongoni pia...
 
Back
Top Bottom