Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

Heshima kwa mwanamke huyu na wengine kama huyu.

Mi najiuliza nani alimpa mimba Giant kama hili.

Hakuna boflo ngumu mbele ya chai...

Simba jike pamoja ukali wote ule lakini huwa anazaa...

Nungunungu pamoja na miiba yote ile lakini kuna wakati huwa anatulia na nyandu yaliwa...

Nyuki jike pamoja na mihasira yake yote kuna muda ule mwiba huwa watulia tuli na vyombo vinaliwa...

Sasa sembuse hilo giant...
 
Hahaha...kweli mlikuwa mwashikana masikio...kwa mkwara huo bila shaka wadada walikuwa hawashushi injini kabisaaa.

Hahaha unanikumbusha theories za kitaa. Eti mtu akitoa mimba kondo la nyuma linagonga kwenye ubongo afu anakufa. As if kuna barabara kutoka kwenye uterus hadi kwenye brain hehehe
 
Huyu dada ana hatari sana, hajui anaweza kuanguka na kupoteza maisha? Hii si ya kuiga aisee
 
Back
Top Bottom