Asante sana Majasho kwa uchambuzi mzuri, umenikumbusha mbali. Upinzani mkubwa nchi hii umeanzia K'Njaro nadhani ndio sababu ya watu wa huko "kuogopwa" na hata "kuchukiwa". Mrema alikuwa mpinzani wa tatu katika historia ya upinzani mkali kutoka K'Njaro. Mpinzani wa kwanza kabisa alikuwa Mangi Mkuu kabla ya uhuru. Serikali ya K'Njaro ilishafanya mazungumzo na kupatiwa uhuru wa mpito (semi autonomy) mwaka 1958 na Malkia wa Uingereza. Ilibidi Nyerere aruke pakubwa kutuliza mambo na hiyo ndio ilikuwa sababu kubwa ya Nyerere kutangaza marufuku ya uchifu mwaka 1961.
Mpinzani wa pili ni Edwini Mtei (Governor wa Benki Kuu) aliyepinga sana sera za kijamaa za Nyerere. Pamoja naye walikuwepo wengi tu kama akina Sosthenes Maliti waliokuwa wana-diplomasia mahiri Umoja wa Mataifa. Waliandika sana juu ya umaskini wakiuhusisha na ujamaa na waliishia kuondoka serikalini.
Mpinzani mkubwa wa tatu ni wakati wa Mkapa ambaye ndio Mrema kama ilivyoandikwa hapo juu. Kwa kweli alishinda urais lakini bao la mkono lilikuwepo tangu zamani na likafungwa mchana peupe.
Mpinzani wa nne ni Mbatia wakati NCCR Mageuzi ikiwa chama kikuu cha upinzani.
Mpinzani wa tano ni Mbowe hadi sasa akiwa kiongozi mkuu wa CHADEMA.
Wamekuwepo viongozi wengi tu wa vyama kutoka K'Njaro wakiwa waanzilishi. Serikali imefikia mahali pa kuwaaminisha watu kwamba upinzani ni mambo ya watu wa K'Njaro wasijihusishe nao. Magufuli anachukulia CHADEMA kama uchagga na hii huongeza hasira yake kwa upinzani hadi kufikia bila aibu kuweka lengo la kuangamiza upinzani ufikapo 2020. Atafanikiwa?
Ila kiukweli Mrema angekuwa rais Ikulu ingeamia Kilimanjaro. ivi vyama vya ukanda inatakiwa vipigwe chini.
Wachaga mko bias sana, unamfahamu kasanga tumbo? Unamfahamu Bilal waikela, unamfahamu fundi kila?unamfahamu musa Kwikima? Au mnajitekenya wenyewe mnachekaAsante sana Majasho kwa uchambuzi mzuri, umenikumbusha mbali. Upinzani mkubwa nchi hii umeanzia K'Njaro nadhani ndio sababu ya watu wa huko "kuogopwa" na hata "kuchukiwa". Mrema alikuwa mpinzani wa tatu katika historia ya upinzani mkali kutoka K'Njaro. Mpinzani wa kwanza kabisa alikuwa Mangi Mkuu kabla ya uhuru. Serikali ya K'Njaro ilishafanya mazungumzo na kupatiwa uhuru wa mpito (semi autonomy) mwaka 1958 na Malkia wa Uingereza. Ilibidi Nyerere aruke pakubwa kutuliza mambo na hiyo ndio ilikuwa sababu kubwa ya Nyerere kutangaza marufuku ya uchifu mwaka 1961.
Mpinzani wa pili ni Edwini Mtei (Governor wa Benki Kuu) aliyepinga sana sera za kijamaa za Nyerere. Pamoja naye walikuwepo wengi tu kama akina Sosthenes Maliti waliokuwa wana-diplomasia mahiri Umoja wa Mataifa. Waliandika sana juu ya umaskini wakiuhusisha na ujamaa na waliishia kuondoka serikalini.
Mpinzani mkubwa wa tatu ni wakati wa Mkapa ambaye ndio Mrema kama ilivyoandikwa hapo juu. Kwa kweli alishinda urais lakini bao la mkono lilikuwepo tangu zamani na likafungwa mchana peupe.
Mpinzani wa nne ni Mbatia wakati NCCR Mageuzi ikiwa chama kikuu cha upinzani.
Mpinzani wa tano ni Mbowe hadi sasa akiwa kiongozi mkuu wa CHADEMA.
Wamekuwepo viongozi wengi tu wa vyama kutoka K'Njaro wakiwa waanzilishi. Serikali imefikia mahali pa kuwaaminisha watu kwamba upinzani ni mambo ya watu wa K'Njaro wasijihusishe nao. Magufuli anachukulia CHADEMA kama uchagga na hii huongeza hasira yake kwa upinzani hadi kufikia bila aibu kuweka lengo la kuangamiza upinzani ufikapo 2020. Atafanikiwa?
Mpumbavu wewe kama unafikiri CDM ni chama cha kikanda, tena kwa taarifa yako ukali wa CDM upo zaidi Kanda ya ziwa, kanda ya Kusini, Kanda ya Mashariki kuliko kanda ya Kaskazini.Ila kiukweli Mrema angekuwa rais Ikulu ingeamia Kilimanjaro. ivi vyama vya ukanda inatakiwa vipigwe chini.
Mrema alikuwa hatari mkuu mimi nilikuwa mdogo ila nakumbuka tulikuwa tunatoka sehemu tukakutana na msafara akiwa kwenye landrover nyomi kama lote wananchi hawataki gari liwashe wanalisukuma linapanda mlimani acha kabisa mkuu lilikuwa nyomi kubwa hatari.Du kumbe ilikuwa ivi miaka hiyo ikawaje chadema imepata nguvu na mvuto kiasi hiki
Ni kitu gani hasa kimewabadili hao wanachame huko? Maisha yamekuwa mazuri au ni vitisho?Anaweza kudhoofisha sana Chadema, lakini hana na hato weza kuangamiza upinzani.
Mimi niko Hai hapa Uswaa, Chadema kama chama kimenyong'onyea sana lakini sio upinzani.
Mabomu yanayo pigwa na jeshi la kisiasa la kukodiwa lililopa hapa HAI kama Mbowe atapona safari hii basi na nchi atachukua.
Silaha zote za Kimachame na hata waliokuwa mawaziri miaka ya nyuma wameletwa hapa. Na lugha ya Kiswahili imepotea ni Kimachame tuu kwa kwenda mbele mpaka tuna shangaa matajiri wa kimachame wamepewa nini na Magufuli ?.
Inaendeshwa kampeni kali sana na kuna idadi kubwa ya wanHai tayari wameelekea Kibla.
Jana wame hakikishiwa na Mh. Majaliwa barabara zinazo sumbua zitajengwa upya.
Asante kwa uchambuzi makini. Mkuu we unavyoona amefanikiwa kuangamiza huo upinzania?Asante sana Majasho kwa uchambuzi mzuri, umenikumbusha mbali. Upinzani mkubwa nchi hii umeanzia K'Njaro nadhani ndio sababu ya watu wa huko "kuogopwa" na hata "kuchukiwa". Mrema alikuwa mpinzani wa tatu katika historia ya upinzani mkali kutoka K'Njaro. Mpinzani wa kwanza kabisa alikuwa Mangi Mkuu kabla ya uhuru. Serikali ya K'Njaro ilishafanya mazungumzo na kupatiwa uhuru wa mpito (semi autonomy) mwaka 1958 na Malkia wa Uingereza. Ilibidi Nyerere aruke pakubwa kutuliza mambo na hiyo ndio ilikuwa sababu kubwa ya Nyerere kutangaza marufuku ya uchifu mwaka 1961.
Mpinzani wa pili ni Edwini Mtei (Governor wa Benki Kuu) aliyepinga sana sera za kijamaa za Nyerere. Pamoja naye walikuwepo wengi tu kama akina Sosthenes Maliti waliokuwa wana-diplomasia mahiri Umoja wa Mataifa. Waliandika sana juu ya umaskini wakiuhusisha na ujamaa na waliishia kuondoka serikalini.
Mpinzani mkubwa wa tatu ni wakati wa Mkapa ambaye ndio Mrema kama ilivyoandikwa hapo juu. Kwa kweli alishinda urais lakini bao la mkono lilikuwepo tangu zamani na likafungwa mchana peupe.
Mpinzani wa nne ni Mbatia wakati NCCR Mageuzi ikiwa chama kikuu cha upinzani.
Mpinzani wa tano ni Mbowe hadi sasa akiwa kiongozi mkuu wa CHADEMA.
Wamekuwepo viongozi wengi tu wa vyama kutoka K'Njaro wakiwa waanzilishi. Serikali imefikia mahali pa kuwaaminisha watu kwamba upinzani ni mambo ya watu wa K'Njaro wasijihusishe nao. Magufuli anachukulia CHADEMA kama uchagga na hii huongeza hasira yake kwa upinzani hadi kufikia bila aibu kuweka lengo la kuangamiza upinzani ufikapo 2020. Atafanikiwa?
Tuache kuishi kwa hizo history za kichwara hapo sisi tupige kampeni ili ccm ipate ushindi mkubwa sio uropokaji wa akina Mrema maana dhama znabadilika mkuu tujtahd kuwanadi wagombea wetu ili tuchukue majimbo mengi piaUchaguzi mkuu wa 1995 ulitawaliwa na mbwembwe za kila aina kuliko ule wa 2015.
Mgombea urais wa Nccr mageuzi Augustino Lyatonga Mrema alikuwa anabebwa juu juu na vijana kama mkungu wa ndizi na wengi waliamini angeibuka kidedea.
Kila alikopita Lyatonga Pwani hadi Bara shughuli zote zilisimama watu wakaenda kumsikiliza mzee wa " Siku 7"
Lakini siku ya uchaguzi aligaragazwa mapema kabisa na ndivyo itakavyokuwa kwa Tundu Antipas Lisu.
Maendeleo hayana vyama!