Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

Hakika, anayemsema vibaya docta slaa ana matatizo ya mtindio Wa ubongo.
utindio wa ubongo anao baba yako siyo Dr Slaa yule ndo raisi wetu mtarajiwa .
 
haa haa mkuu hilo hata ndani ya ccm ni mgogoro mzito. Wakristo ndani ya ccm wanaamini ni zamu yao! Na waislamu nao hawakubali.

Ukiona watu wanaanza kufikria kuwa dini ni mojawapo ya sifa za mtu kuwa rais ujue tumekwisha,.
 
Mimi ni mgombea wa Urais kupitia UKAWA. Naomba mniunge mkono
 
Nampenda Slaa kwa maamuzi yake thabiti, nampenda kwa kuwa muwazi linapokuja swala la uwajibikaji, nampenda sana Slaa kwa uwezo wake wa ku-penetrate kwenye core ya UFISADI na kuwaanika bila kupepesa macho! ILA? Slaa apewe nafasi ya PM! Rais asimamishwe mwingine kwa maslahi mapana ya Tanzania! Wapo Watanzania wengi wenye Uwezo, Wapo wenye kuweza kuitumikia nchi hii kwa weledi Mkubwa zaidi nje ya CCM! Hawa watu wapewe nafasi! Madhara ya kumuweka kiongozi mwenye Backgroud ya wamiliki wa Mkombozi Bank ni mabaya na yanaweza kuligawa Taifa letu !! Apewe mwenye uonekano wa kati!!! Wenye kujua nielekeapo hope wamenipata ... UKAWA now OR Never ever!!! CCM kwa sasa inachukiwa kwa dhaati kabisa! wako tayari kutumia nguvu kupita maelezo! Huduma zote za Kijamii plus mifumo yao mibovu imeota kutu ... This time CCM must go ...
 
Kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,Prof,mbatia,Mbowe na Makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea Ccm wakamsimamisha Lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.

wanamvuto hasa kati ya slaa na lipumba kama vipi subiri october
 
ni kweli slaa hana mvuto mi nadhani bibi yako ndo mwenye mvuto kwa babu yako
 
Mgombea wa UKAWA ni vita kati Wakristo na Waislamu, tunza vizuri hii comment yangu , tutakuja kukumbushana huko mbeleni.
Na mgombea wa ccm ni vita kati ya dini zipi..? Huo udini uliopandikizwa na ccm utawamaliza wao kwanza kabla ya ukawa.
 
Kiukweli ningetamani kuona mh. Lipumba, mbatia, mbowe na hata makaidi wakiwa wabunge wa bunge la muungano. Wangelisaidia sana bunge letu na taifa letu.

Hivi Makaidi ni huyu aliejiteua yeye binafsi na mkewe katika lile bunge la katiba?Basi na safari hii pia aende na mkewe kwa tiketi ua ukawa.
 
Hivi Makaidi ni huyu aliejiteua yeye binafsi na mkewe katika lile bunge la katiba?Basi na safari hii pia aende na mkewe kwa tiketi ua ukawa.

Umesahau samwel sita na mkewe!
Umesahau ya pius msekwa na mkewe?
 
babu sa iv akisimama lisaa bila ya kumpa kiti na kahawa mnamuokota

Kuna mzigo mmoja unakaa hapo kata ya mchafukoge Mtaa wa magogoni kwa macho yangu nshauona ukianguka mara mbili mbele ya TV.
 
Back
Top Bottom