Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Kama profesa Ibrahim Haruna Lipumba atagombea ubunge Tabora mjini. Na Kama kamanda Mbatia atagombea ubunge jimbo la Vunjo. Na Kama kamanda Wa anga Freeman Mbowe atagombea ubunge jimbo la Hai. Na Ndugu Emmanuel Makaidi atagombea Jimbo la Mtama.

Hesabu nyepesi hapo, doctor Wilbrod Peter Slaa atagombea urais Kwa tiketi ya UKAWA mwaka huu katika uchaguzi unaotarajiwa kuitishwa mwezi October mwaka huu.

Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania.

Tukosoane Kwa staha.
 
Mgombea wa UKAWA ni vita kati Wakristo na Waislamu, tunza vizuri hii comment yangu , tutakuja kukumbushana huko mbeleni.
 
Ukawa wengine wanamtaka cecilia paleso na wengine lipumba hizo hesabu zako kaa nazo kwenu kwanza.
 
Kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,Prof,mbatia,Mbowe na Makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea Ccm wakamsimamisha Lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.
 
Mgombea wa UKAWA ni vita kati Wakristo na Waislamu, tunza vizuri hii comment yangu , tutakuja kukumbushana huko mbeleni.
Ntakuwa wa kwanza kukumbusha mkuu ukawa pale hakuna viongozi ni mashati na magauni tu.
 
Kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,Prof,mbatia,Mbowe na Makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea Ccm wakamsimamisha Lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.
Ukweli kama huu UKAWA hawataki kuusikia kabisaa.
 
Mgombea wa UKAWA ni vita kati Wakristo na Waislamu, tunza vizuri hii comment yangu , tutakuja kukumbushana huko mbeleni.
haa haa mkuu hilo hata ndani ya ccm ni mgogoro mzito. Wakristo ndani ya ccm wanaamini ni zamu yao! Na waislamu nao hawakubali.
 
IMG_80567860372183.jpeg
 
Kiukweli ningetamani kuona mh. Lipumba, mbatia, mbowe na hata makaidi wakiwa wabunge wa bunge la muungano. Wangelisaidia sana bunge letu na taifa letu.
 
Back
Top Bottom