Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

akisimama slaa kwenye urais na mimi ntaomba kadi ya uanachama hata tlp au ccj na naamin ntashinda,babu wa dogodogo haniwez
 
Kwanini SLAA asigombee Karatu ili Prof agombee urais?
 
mi slaa haniwez kwanza akiongea anatetemeka pil huwa ana jazba,ni muongo,muoga mwiz,dogodogo kwa sana ni tapel,ni mdin,ukimtanbulisha mkeo atamnyatia,jaman ee mleten babu muone
 
Akiri yako ina kutu inahitaji kuwekewa grisi Inabidi tukuwekee grisi kupitia nipple yako iliyopo katikati ya ma.ka.lio hadi ifike kichwani

QUOTE=Kichwa Ndio Mtu;11768765]Kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,Prof,mbatia,Mbowe na Makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea Ccm wakamsimamisha Lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.[/QUOTE]
 
Mungu atubariki na sisi CCM kwani kama mtawasimamisha hao mnaowaita makamanda katika majimbo uliyoyataja basi wengi wao wasubiri anguko la pua au anguko la mende. Nakuhakikishia kuwa tunajipanga sasa na tunawahamasisha vijana wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na watupigie kura ili mwisho wenu uwe aibu...
Kama profesa Ibrahim Haruna Lipumba atagombea ubunge Tabora mjini. Na Kama kamanda Mbatia atagombea ubunge jimbo la Vunjo. Na Kama kamanda Wa anga Freeman Mbowe atagombea ubunge jimbo la Hai. Na Ndugu Emmanuel Makaidi atagombea Jimbo la Mtama.

Hesabu nyepesi hapo, doctor Wilbrod Peter Slaa atagombea urais Kwa tiketi ya UKAWA mwaka huu katika uchaguzi unaotarajiwa kuitishwa mwezi October mwaka huu.

Mungu ibariki UKAWA Mungu ibariki Tanzania.

Tukosoane Kwa staha.
 
mi slaa haniwez kwanza akiongea anatetemeka pil huwa ana jazba,ni muongo,muoga mwiz,dogodogo kwa sana ni tapel,ni mdin,ukimtanbulisha mkeo atamnyatia,jaman ee mleten babu muone
haa haa wewe hata dovutwa anakushinda sembuse dr. Slaa?
 
UKAWA haina presidental person hata mmoja mwenye ushawishi
japo wao wanajidanganya kuwa wana hazina ya watu wengi wenye uwezo wa kugombea urais huku wakisahau kuwa urais sio tu kuwa na sifa zilizoorodheshwa kwenye katiba kama vile umri kuanzia 40yrs, mwenye akili timamu(japo hapa kwa upande wa ukawa panapaswa kuangaliwa kwa jicho pevu, nina mashaka sana na kina tundu lissu,lema,sugu na nassari kama ZIPO TIMAMU)

mtu tunayemzungumzia apa ni yule atakayeweza kuwa na ushawishi kwa watanzania kama ilivyokuwa kwa kibabu slaa mwaka 2010..lakini kwa hivi sasa UKAWA nawashauri wasisimashe mgombea katika nafasi ya urais na badala yake ruzuku za kampeni wafanyie mambo mengine kwani CCM hata wakimsimamisha LUSINDE au Prof. MAJI MAREFU atashinda kwa kishindo over 87%

NB:HUU NI UKWELI AMBAO UKAWA HAWAPENDI KUUONA NA KUUSIKIA...MTASHUHUDIA WATAKAVYOKUJA KUNI ATTACK PERSONALLY BADALA YA KUJIBU HOJA

karibuni wakawa tujadili
 
mkuu umemaliza hakuna cha kujadili na kuongezea tu yule mvuta bangi wa arusha kiama chake chaja
 
Raisi wetu mtarajiwa ni Dr Slaa tuu hao wengine wasindikizaji tuu
 
Back
Top Bottom