Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

akisimama slaa kwenye urais na mimi ntaomba kadi ya uanachama hata tlp au ccj na naamin ntashinda,babu wa dogodogo haniwez
wewe ni bangi zinakusumbua Dr slaa ndo raisi mtarajiwa kenge wewe.
 
Samahani jamani kama nitakosea hivi bado kuna sisiem Tanganyika hii? Maana kule Zanzibar hakuna sisiemu.
 
Mgombea wa UKAWA ni vita kati Wakristo na Waislamu, tunza vizuri hii comment yangu , tutakuja kukumbushana huko mbeleni.
Hiyo vita ya udini unaianzisha wewe? maana kwa sasa tunaangalia swala la UKAWA na nani anauzika na tunataka kuizika CCM kabisa.
 
kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,prof,mbatia,mbowe na makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea ccm wakamsimamisha lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.

cyo kweli mnamwogopa dr.
 
Kwa uhalisia ukawa hakuna mgombea mwenye ushawishi au mvuto wa kisiasa kwa sasa kwenye ngazi ya upresidenti.

Dr,Prof,mbatia,Mbowe na Makaidi wanaweza kua na ushawishi mkubwa sana kwenye ngazi ya ubunge,ila kwenye urais wamepoteza sana ushawishi.

Mfano ikitokea Ccm wakamsimamisha Lowassa ambae kwa sasa anaonekana mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania(ingawa bunge liliwahi kuazimia kua ni mwizi hadi akajiuzuru) hakuna kiongozi wa ukawa anaweza kusimama nae.

Binafsi ningeshauri ukawa wasimamishe mtu mwingine kabisa ila hao viongozi hawana mvuto wala ushawishi wa kisiasa kiasi kwamba wanaweza kushinda urais,ila kama ni kuwasimamisha tu kwa ajili ya kuleta upinzani sawa vinginevyo hapana.

Huyo lowassa ushawishi wake ni kwenye wizi ... Sifa yake kubwa ni ufisadi na hana mema yoyote aliyowahi kuitendea hii nchi.
 
cyo kweli mnamwogopa dr.

Hakuna anaemuogopa Dr. Alafu mimi siko affiliated na chama chochote cha siasa nchini Tanganyika ila linapokuja suala la ukweli lazima usemwe.

Dr alikua na ushawishi sana miaka 3 iliyopita,kwa sasa hana ushawishi tena na sio tishio kama 2010 ilivyokua.

Dr akigombea mwaka huu ni vigumu hata kuvunja rekodi yake ya mwaka 2010,hayuko kama alivyokua. Wenzake wa ukawa ndio hawapo kabisa,wagombee tu ubunge.
 
Huyo lowassa ushawishi wake ni kwenye wizi ... Sifa yake kubwa ni ufisadi na hana mema yoyote aliyowahi kuitendea hii nchi.

Ndio hapo ujiulize,mtu alietangazwa na bunge kua ni mwizi leo ana ushawishi mkubwa ndani ya chama chake na Tanganyika nzima kwa ujumla.

Watanzania watu wa ajabu sana,miaka 6 ijayo natabiri Prof. Muhongo atakuja kua na ushawishi mkubwa sana nchi hii. Maana kama Lowassa alitangazwa mwizi na bunge,leo hii wabunge hao hao wanampapalikia aje awape uwaziri maana wanajua atakua rais ni hatari.

Ukawa wajipange kumsimamisha mgombea atakaekua na mvuto na ushawishi lakini viongozi wakubwa wa ukawa hawana ushawishi.
 
mkuu sio yeye tu angalia vizur wapo wengi sana

Vijana wengi ni divisheni 5,wanadhani matusi yanaweza kumshawishi mtu akakubaliana nao. Hawana hoja,ukiwapa hoja ambayo wanajua hawawezi kuipinga wataishia kukutukana.

Hao ndio vijana tunaotegemea walete mabadiliko katika nchi hii,vijana anbao wanajidai ni wasomi lakini hawawezi kufanya argument za kisomi,kujenga hoja,kushawishi kwa hoja,wao ni kutukana tu. Hii nchi bado ina safari ndefu ya kwenda.

Mkuu mimi bado sitaki kuamini kama ni wote,ngoja niendelee kuamini ni huyo jamaa mwenyewe.
 
Mbona JK kamfunga babu sea na ana wake wawlwawl kla mkoa na watt ambao hawajui ila yy hakosei wengne ndo malimbuken ww wanawake? Ccm ckio la kufa wote vcheche na ndo maana hii serkal wakuu wa mikoa,wilaya wakurugenz weng magoma yao ziaran wanajipooza tu na mbona lowassa kampa ukuu wa wilaya wa kocha maarufu tz na baada ya vurugu akapewa zawad ya ukocha wa twga ili apate safar nyng kkaz watu wabnjuke kwa sana co ccm hao au huyo mnaemuita ana ushawsh kwa wananchi? Sema ushawsh wao unawafanya muendeshe alteza coz dada zenu chanu kwa mafisad na mama zenu pia hamna akil kaz kutsha watu kisa wabongo mmeona wajnga subr njaa izid mtajuta kutawala wajnga aka 50
 
Lema anatroti nje ya uwanja kasema yeye tayari ni Rais wa Arusha kwanini asipendekezwe yy kwakuwa tayari ana uzoefu wa urais wa nchi ya Arachuga mji mkuu Kwamro mboo?
 
Hakuna anaemuogopa Dr. Alafu mimi siko affiliated na chama chochote cha siasa nchini Tanganyika ila linapokuja suala la ukweli lazima usemwe.

Dr alikua na ushawishi sana miaka 3 iliyopita,kwa sasa hana ushawishi tena na sio tishio kama 2010 ilivyokua.

Dr akigombea mwaka huu ni vigumu hata kuvunja rekodi yake ya mwaka 2010,hayuko kama alivyokua. Wenzake wa ukawa ndio hawapo kabisa,wagombee tu ubunge.

Mku nakuhakikishia kuwa engineer wa siasa za upinzani kwasasa TZ ni Dr. Slaa! Mimi siyo mtabiri mpaka nikutabirie atashinda ila kama huyu Mzee atasimama haki ya kinana CCM lazima waombe poo!
Chunguza kiundani kama kuna mtu CCM wako makini naye kwasasa ni Dr. tena CCM wanamuogopa dr. Slas kuliko hata ukawa yenyewe na kwa vile dr. Slaa kalijua hilo kaamua kukaa kimya ili asiwape wabaya wake cha kusema hiyo October! Kimya kingi kina mshindo mwingi. Na kama wewe umesema hauna chama chochote cha siasa ikifika mda wa kampani utanikumbuka, otherwise naomba nisiwe mtabiri coz ni unafiki na ushirikina wa hali ya juu kuizungumzia kesho na mbaya zaidi kujihskikishia juu ya jambo linaloweza tokea kesho ilihali hatujui kesho itakuaje!?
 
Mkuu hilo unalolisema ni kweli,ndani ya ukawa Dr ndie ana nguvu kuliko wote,namkubali binafsi Dr,hata akigombea namhakikishia kura yangu ya ya familia yangu,hata mwaka 2010 nilifanya hivyo.

Tatizo ni kwamba Dr hasikiki wala haonekani kuwa na mvuto kama mwaka ule wa 2010,ilikua neck to neck na Prof. Kikwete. Dr.ushawishi wake umepungua sana kwa miaka hii ya hivi karibuni.

Ingawa siasa za Tanzania ni za matukio maana anything can happen at any time lakini bado sioni nguvu kubwa ya ushawishi ya Dr kwa sasa.
 
Mkuu ukimya wa Dr. Slaa una maana kubwa sana sana! Kuna jambo linamfanya awe kimya, subiri na utakuja kuniambia!
 
Back
Top Bottom