Hesabu hazimbebi Mbatia wala Zitto. Mbowe is here to stay

Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?

Kuna watu wengi sana sijui hawamjui Mbowe vizuri au uchanga wa kuanza kushabikia siasa now. Mwaka 2015 Chadema ilimtimua Zitto na 2015 Novemba Kura za chadema ziliongezeka maradufu...kupata 6millions vote za Urais si haba km Hata Magu tu alipata 8Millions. Yaani leo chama ambacho mlifuta wagombea wake wa serikali za mitaa..mkanunua wabunge wake wengi na kuwapa ubunge bila ridhaa ya wananchi. Mnadhani wananchi hawajui hayo..yaani mnadhani propaganda za kina lijuakali zinaweza kumteteresha Mbowe..Bado hamjafikiria vizuri.

Ipo hivi. Mbowe na CHADEMA wapo vizuri sana. Najua now mashambulizi mengi ni kwa Mbowe kwakuwa ndiyo mwenye ushawishi now kwenye siasa za Tanzania. Km mbowe kaiba pesa mbn hampeleki Mahakamani.

Hizo michango zimeanza lini...yaani mnaona uchaguzi ndiyo mnaleta mambo hayo..Mmeshindwa kuderiver kwa wananchi mnaanza kuvibomoa vyama vya upinzani. Yaani mnaona nchi km yenu hii.

kama kuna mtu anadhani huu ndiyo mwisho mbowe mwambie aote Moto tu Mbowe is here to stay... tena waambie wakoke moto kabsa..
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?



Simple calculation haziwabebi Mbatia wala ZITO.. WANANCHI wanawajua.. ngoja uchaguzi ufike ndiyo mtaona nguvu ya chadema. Hizi propaganda zilikuwepo tu..
Mbowe ni political mafia..kimsingi hamuwezi...Mkitata kuondoa chadema labda muifuite.
NCCR MVUTO F
ACT MVUTO D
CHADEMA MVUTO NI A
CCM MVUTO NI C
Good to go

Mbowe is here to stay

Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?

Tungekuwa na tume huru ya uchaguzi kweli kungekuwa na uchaguzi sasahivi ni maigizo tume inajua mshindi ni nani?
 
Back
Top Bottom