Hesabu hazimbebi Mbatia wala Zitto. Mbowe is here to stay

Pemba empire

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
467
1,319
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?

Kuna watu wengi sana sijui hawamjui Mbowe vizuri au uchanga wa kuanza kushabikia siasa now. Mwaka 2015 Chadema ilimtimua Zitto na 2015 Novemba Kura za chadema ziliongezeka maradufu...kupata 6millions vote za Urais si haba km Hata Magu tu alipata 8Millions. Yaani leo chama ambacho mlifuta wagombea wake wa serikali za mitaa..mkanunua wabunge wake wengi na kuwapa ubunge bila ridhaa ya wananchi. Mnadhani wananchi hawajui hayo..yaani mnadhani propaganda za kina lijuakali zinaweza kumteteresha Mbowe..Bado hamjafikiria vizuri.

Ipo hivi. Mbowe na CHADEMA wapo vizuri sana. Najua now mashambulizi mengi ni kwa Mbowe kwakuwa ndiyo mwenye ushawishi now kwenye siasa za Tanzania. Km mbowe kaiba pesa mbn hampeleki Mahakamani.

Hizo michango zimeanza lini...yaani mnaona uchaguzi ndiyo mnaleta mambo hayo..Mmeshindwa kuderiver kwa wananchi mnaanza kuvibomoa vyama vya upinzani. Yaani mnaona nchi km yenu hii.

kama kuna mtu anadhani huu ndiyo mwisho mbowe mwambie aote Moto tu Mbowe is here to stay... tena waambie wakoke moto kabsa..

Simple calculation haziwabebi Mbatia wala ZITO.. WANANCHI wanawajua.. ngoja uchaguzi ufike ndiyo mtaona nguvu ya chadema. Hizi propaganda zilikuwepo tu..
Mbowe ni political mafia..kimsingi hamuwezi...Mkitata kuondoa chadema labda muifuite.
NCCR MVUTO F
ACT MVUTO D
CHADEMA MVUTO NI A
CCM MVUTO NI C
Good to go

Mbowe is here to stay

Mkuu ingekuwa inaruhisiwa ningekuambia jinsi Nccr mageuzi atakavyoshinda ubunge

Na jinsi Chadema watakavyoshindwa

Ila hii ni siri, ila mwenye chama mwenyewe Mbowe anajua baada ya October hana chake ndio maana ameamua kupora bilion nane
 
UONGO HUO
 
Ukweli mtupu. ccm wana hali mbaya sana kuwahi kutokea tangu 1954. Kuna mambo ya hovyo sana ccm yana lindwa kwa gharama zote ila kila kitu kitajulikana.
 
wanatumia nguvu kubwa kuua upinzani badala ya maendeleo
 
Ok tunashukuru kwa bandiko lako! Hakika Chadema mvuto wake ni A. Tuna subir kuipa nchi ila kipate wabunge na madiwani wengi hapo oktoba na ikiwezekana hata kwa nafasi ya Urais wa Tz!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nccr mbunge mmoja tuu mbatia.. chadema wanaona mbali.. chadema wanaona 2025 , ma kwenda mbele.. chadema ndio itawapeleka mahakamani maharamia wote wanaupuuza wananchi.

Unasemaje umeshinda uchaguzi kwa kutumia bunduki.. kwa bunduki unaweza chukua kura zote..

Mwandishi anasema uhalisia on the ground..

Ccm haina ushawishi.
Mkuu ingekuwa inaruhisiwa ningekuambia jinsi Nccr mageuzi atakavyoshinda ubunge

Na jinsi Chadema watakavyoshindwa

Ila hii ni siri, ila mwenye chama mwenyewe Mbowe anajua baada ya October hana chake ndio maana ameamua kupora bilion nane
 
Endeleeni kujidanganya Ccm haina ushawishi

Mi nakataa mkuu NCCR haina ushawishi at all hata wafanye nn Yani kukubalika eti kuizid CHADEMA haipo aiseee...Sina chama ila hilo halitowezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?

Kuna watu wengi sana sijui hawamjui Mbowe vizuri au uchanga wa kuanza kushabikia siasa now. Mwaka 2015 Chadema ilimtimua Zitto na 2015 Novemba Kura za chadema ziliongezeka maradufu...kupata 6millions vote za Urais si haba km Hata Magu tu alipata 8Millions. Yaani leo chama ambacho mlifuta wagombea wake wa serikali za mitaa..mkanunua wabunge wake wengi na kuwapa ubunge bila ridhaa ya wananchi. Mnadhani wananchi hawajui hayo..yaani mnadhani propaganda za kina lijuakali zinaweza kumteteresha Mbowe..Bado hamjafikiria vizuri.

Ipo hivi. Mbowe na CHADEMA wapo vizuri sana. Najua now mashambulizi mengi ni kwa Mbowe kwakuwa ndiyo mwenye ushawishi now kwenye siasa za Tanzania. Km mbowe kaiba pesa mbn hampeleki Mahakamani.

Hizo michango zimeanza lini...yaani mnaona uchaguzi ndiyo mnaleta mambo hayo..Mmeshindwa kuderiver kwa wananchi mnaanza kuvibomoa vyama vya upinzani. Yaani mnaona nchi km yenu hii.

kama kuna mtu anadhani huu ndiyo mwisho mbowe mwambie aote Moto tu Mbowe is here to stay... tena waambie wakoke moto kabsa..
Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?

Simple calculation haziwabebi Mbatia wala ZITO.. WANANCHI wanawajua.. ngoja uchaguzi ufike ndiyo mtaona nguvu ya chadema. Hizi propaganda zilikuwepo tu..
Mbowe ni political mafia..kimsingi hamuwezi...Mkitata kuondoa chadema labda muifuite.
NCCR MVUTO F
ACT MVUTO D
CHADEMA MVUTO NI A
CCM MVUTO NI C
Good to go

Mbowe is here to stay

Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli?
Yan bila kumumunya maneno bila CHADEMA hii nchi ingekua na uonevu mbaya sana......viva chadema viva kamanda mbowe endeleen kutupgania wanyonge na tusio na saut au pa kusemea

Its not over until its over...
 
Tatizo ni nyakati watu walio zaliwa 1980 kuja 2000 hawana muda na ccm labda wenye maslahi ya upigaji na walio ndani ya mfumo ulio asisiwa na wazazi wao ila ukweli ccm kiualisia haipo watu wote wakiamua kujiandikisha na kutoka kupiga kula kuchagua sera it will be over.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom