Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,687
I beleive in sapraizis, nikajua utanisapraiz leo lol
nimekuletea swtlady akusuprise.
I beleive in sapraizis, nikajua utanisapraiz leo lol
lol wifi unaenda wapi tena?
Excellent mwenye hata hasikii,hamia huku
Dah! deskmate bana! baadae tuonane sehem sehem basi tumalizie ile homeworkDeskmate vipi tena unatishiwa kulazwa stoo ya mkaa? Mbona sielewi elewi? Tukutane shule bwana, naona hapa kuna kamsongamano fulani...:bump2:
Deskmate, vipi tena? Please ni-introduce...
Husninyo huyu Deskmate wangu anataka tuwe marafiki ila kwa mtindo huu naona bora tuwe deskmate tu kwanza.swahiba naona mwali anaingilia anga zako. Hakujui eeh?
Lol....... shemeji bom sana wewenimekuletea swtlady akusuprise.
Hebu mwambie wewe swahiba, hajui nnavyopiga eeh? Amuulize mamkwe wako King'asti..swahiba naona mwali anaingilia anga zako. Hakujui eeh?
Ok. Umesha mwambia mimi ni deskmate wako (ila hatujui tutaendelea vipi)?
Husninyo huyu Deskmate wangu anataka tuwe marafiki ila kwa mtindo huu naona bora tuwe deskmate tu kwanza.
Dalili zinaonyesha kuwa leo utalala stoo ya mkaa... Endelea.
Heri ubaki tu hapa kuliko kupita,mbwa mkali na geti limefungwaNapita tu.
Hebu mwambie wewe swahiba, hajui nnavyopiga eeh? Amuulize mamkwe wako King'asti..
namtafuta kaka excellent. Nitarudi wifi.
Kabakabana, naona mapenzi yako yamelalia mno uzunguni. Je ulishawahi kumsoma Okot p'Bitek katika mashairi yake ya 'Song of Lawino'? Hapo ndo utajua kama sisi ni kila kitu kwenu.
Lol....... shemeji bom sana wewe
usiogope,ni utani tu wa madeskmateHebu mwambie wewe swahiba, hajui nnavyopiga eeh? Amuulize mamkwe wako King'asti..
Dah! deskmate bana! baadae tuonane sehem sehem basi tumalizie ile homework
Nimeona mpendwa, mie namsubiri nyumbani yeye anakazana kumchongea mwali penseli, khaa!! We subiri afike nyumbani!..lolumeona eeh?hahahaha