sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Swahiba mimi penda wewe sana...hahahahaha! Shemeji lazma alinde, haiwezekani swahiba aibiwe mchana kweupe.
Swahiba mimi penda wewe sana...hahahahaha! Shemeji lazma alinde, haiwezekani swahiba aibiwe mchana kweupe.
Ila niseme tu ukweli penseli yake inaonekana itaandika vizuri... ngoja nikamsubiri kule shule. Amekwambia tunakaa desk moja?Nimeona mpendwa, mie namsubiri nyumbani yeye anakazana kumchongea mwali penseli, khaa!! We subiri afike nyumbani!..lol
hahahahahahaha! No comment.
Heri ubaki tu hapa kuliko kupita,mbwa mkali na geti limefungwa
Swahiba mimi penda wewe sana...
unalo leo,umeingilia anga za watu
Kwavile sheria za JF haziruhusu kuchakachua sredi
Bek to ze topik: Hongera sana excellent
sredi bado haijachakachulikaKwavile sheria za JF haziruhusu kuchakachua sredi
Bek to ze topik: Hongera sana excellent
mkuu mi nipo kimya kimya nafuatiliaExcellent mwenye hata hasikii,hamia huku
anga zangu na swahiba atakaeingilia tunamshusha busha bila kujali ni ke au me.
Weee!!! Abiria chunga mzigo wako bana... Humwoni kabakabana anavotukabia Excellent?usiogope,ni utani tu wa madeskmate
Nipo jukwaa la dini, tunaijadili zambi ya asiliswahiba mimi penda wewe zaidi. Naona shem kaamua kukimbia.
sredi bado haijachakachulika
senkyu mach,ina mana we na mwali bado hamjaondoka ubungo bus terminal?
hehehe yangu macho wifi
hehehe deskmate ana ka aibu aibu kidogo tunasubiria ka basi ambako hakana abiria wengi tuwahi shule.sredi bado haijachakachulika
senkyu mach,ina mana we na mwali bado hamjaondoka ubungo bus terminal?
Husninyo mimi nipo hapa nimesharudinamtafuta kaka excellent. Nitarudi wifi.
Nipo jukwaa la dini, tunaijadili zambi ya asili
Hahaha! Namchongeaga kila siku asubuhi na jioni akirudi shule... Hajanambia bado...Ila niseme tu ukweli penseli yake inaonekana itaandika vizuri... ngoja nikamsubiri kule shule. Amekwambia tunakaa desk moja?
mkuu mi nipo kimya kimya nafuatilia