Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
dah heri iwe hivo tuOoooowwww... this is so cuuuute!
dah heri iwe hivo tuOoooowwww... this is so cuuuute!
heri angeutoa,sidhani kama huko ni kuzuriNa hako kamkono unakapeleka wapi apo?
Na at the same time tulikuwa tunajarib kuwafahamisha kwamba wanaweza kuzoeana kabla kutongozana, si unaona mimi na wewe tumeanza mbali na stori za kifafa? who knows tunaelekea wapi?
eeeh kumbee?
Hapana bana! mwali ni mwanafunzi mwenzangu namtania tania tu.
halafu natupa ufunguo baharinihehehe nifungie na kufuli kabisa maana kuna huyu mwarabu wa pemba sijui anataka nini.
Na hako kamkono unakapeleka wapi apo?
Halaf hiyo njemba hapo pembeni imechomoza mikono inamzuia ni wewe nini?heri angeutoa,sidhani kama huko ni kuzuri
Khaaaa! deskmate usimwambie teacher faiza, azabu zake anakwambia ukang'oe majani kwenye shamba lake la viazi na umfulie maguo ya hazbendi wake akilejea kazini.Deskmate, yamekua hayo tena? nakusema kwa Mwalimu Faiza Fozy!
Ooooowwww... this is so cuuuute!
Acha basi. Utani wako mbaya huo, mi Mwali bwana!Khaaaa! deskmate usimwambie teacher faiza, azabu zake anakwambia ukang'oe majani kwenye shamba lake la viazi na umfulie maguo ya hazbendi wake akilejea kazini.
Nataka nisibitishe, sisi ma lawyer tunapenda sana ushahidi wa paperworkskwani wee kipofu?
...after goin thru each line,i feel lyk nimezungukwa na makopa kopa ya ma-lovedavi.😛oa
Acha basi. Utani wako mbaya huo, mi Mwali bwana!
dah heri iwe hivo tu
heri angeutoa,sidhani kama huko ni kuzuri
Deskmate, yamekua hayo tena? nakusema kwa Mwalimu Faiza Foxy!
halafu natupa ufunguo baharini
Nataka nisibitishe, sisi ma lawyer tunapenda sana ushahidi wa paperworks
Halaf hiyo njemba hapo pembeni imechomoza mikono inamzuia ni wewe nini?
Ina maana yule mzembe hashycool ndo umem rule out kabisa katika hili gemu?asipokuwa yeye atakua nani?