Kweli mwanamke ni mwanamke tu, uliporuhusu kuendelea kuchat nae ndo ulikuwa umefungulia dog. a man enough couldn't fail a game..
umenikumbusha zaman kidogo, jacky wangu tulizinguana kidogo kisha tukaachana pale, na ni sivyo na hulka ya kubembeleza nikamuacha akatembea zake, a month, two months, quarter a year nikaona mtu kimya tu, ikabidi nimtafute mwenyewe.
(mimi asbh saa 3) Hi jacky.
(yeye) kakaa kimya
(mimi asbh saa 5) Jacky it's me (nikataja jina)
(yeye) kakaa kimya
::Wakati wote message zinakuwa delivered na ninajua anazisoma
(mimi saa 8 mchana) jacky please nisikilize nina jambo muhimu nataka nikueleze, nisikilize then sitakusumbua tena.
(Jacky saa 8 mchana) sema chap niko busy sana
Nkajisemea kimoyomoyo, tayari kashanasa.
(mimi) Jacky sijui nini kilitokea usiku lkn nmekuwaza sana na kwa kweli nikagundua wewe ndo mwanamke sahihi katika maisha yangu after all imekuwa hivyo kwa sababu kabla ya hapo niliota ndoto kwamba tumefunga ndoa na baada ya hapo nikaona tuna watoto wawili daah nikawa shocked sana Jacky, Jacky I now know ur destined to be mine..
(Jacky) enheee baada ya hapo ikawaje (akanitaja jina)
(Mimi) Jacky, it's not important kujua baada ya hapo ilitokea nini, lkn better u know this, am ur future husband and father of your kids..
(Jacky) Are you sure (akanitaja jina)
(Mimi) Get into my heart u see how sure am I, I love you with all I have
(Jacky) I love you too, lkn please usiniumize tena(akanitaja jina)
......guess what next......
My take, to capture a single Tanzanian lady above 25 yrs, mpe uhakika kwamba utamuoa + honey words




