daahUmenistua na kichwa cha Uzi nikajua ni bwana yule kumbe ni hadithi ngoja niisome sasa...



🤣🤣🤣🤣Ya nini kunguni mmoja akufanye uanike chaga juani? Tandika shuka jeupe kitandani akikatisha tu unampiga ban
Mnajijua mlivyo ee..!Nilivyoanza kusoma nikajua tu mwisho wa siku lazima ulainike.
alilainika kabla hata hiyo milioni sasa baada ya hiyo milioni ndio kabisaaaa kazi imeisha.Mnajijua mlivyo ee..!
Mi nadhani 1M ndo ilimlainisha kabisa au nasema uongo ndugu yangu!
au nasema uongo ndugu yangu?Wee jamaa wewe, kila mahali ni hii slogan yako tu..
Sent from my GIONEE S11 lite using JamiiForums mobile app
hii ni shobizHii ni riwaya au ni mambo ya watoto show mi nipite zangu..?