miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Aah na mmoja wa same name aisee almost anibake. Sijawahi kukimbia vile. Tena kwenye nyumba yetu. Alifadhiliwa akae kwa muda. Alipoona nimekimbia akajua ninekwisha na yeye alitoweka mpk kesho hata sura yake siikumbuki. Nilikua sijui grade 4. Muda sana. Nilikua na kamwili flexible na mwepesi ndo mana niliweza mchoropoka.Hahahaha si ajabu kuna mmoja tu ndio anatuharibia mkuu.