Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

Hili suala ni kama magonjwa ya msimu.
Kuna wakati mnasifia akina Chris, mara Kelvin kuwa wapole na romantic. Yakipanda mnawageuka mnahamia kwa akina Elijah na kusema Chris na Kelvin wanapenda skirt sana

Ndiyo maana hakuna vitabu vyenye kanuni za mapenzi.
 
Na kweli Acha wacheze tu waonjane.

Ila niwakumbushe tu Wanawake sisi mileage zinahesabika.

Hawa wenzetu wao wanaboresha tu mechi wanakuwa mafundi balaa wa kupeleka moto. Sisi tunabaki used.

Ni hayo tu.
Daaaaah.
 
Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa.

Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia herufi G .g nilishawai kusettle kwa miaka kadhaa hatukufika final lakini ma g nao ni watu amaizing sana.

Herufi E wababaishi sana wapenda chini kimya kimya japo wengine wana jina na mbinguni kabisa ila naombeni uzoefu wa wengine kuhusu A na G kuna Jambo nataka kufanya.
A for Andunje
D for Dabiliyuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom