He amechukua fomu agombee wapi tena?Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.
He amechukua fomu agombee wapi tena?
Tamaa na ulafi ipo siku vitamgharimuHe amechukua fomu agombee wapi tena?
Sijui anataka nini tena, ni muajiriwa GSM bado ni raisi wa Yanga na ni kiongozi wa vilabu CAF. Anashindwa kukomaa hapo alipo apate exposure zaidi kupitia mpira wa miguu, yeye anawaza ujinga wa CCM. unaweza kuwa na pesa na elimu ila ukakosa maarifa.Tamaa na ulafi ipo siku vitamgharimu
Kwahiyo aendelee kujitolea hapo Yanga?Sema Msomali tamaaa itamuua
Hela ya ubunge ni ya bure bure pasipo kuitolea jasho la kutaabika ndiyo maana wengi wanataka ubunge imagine kukaa tu kwenye kiti kizuuuri halafu umelala au unasema tu ndiyooo then hela inaingia su unagonga tu meza hela inaingiaSijui anataka nini tena, ni muajiriwa GSM bado ni raisi wa Yanga na ni kiongozi wa vilabu CAF. Anashindwa kukomaa hapo alipo apate exposure zaidi kupitia mpira wa miguu, yeye anawaza ujinga wa CCM. unaweza kuwa na pesa na elimu ila ukakosa maarifa.
Angetulia kwanza, kama awamu ya kwanza walimkata katika hatua za awali saivi wangeshindwa nini?Kwahiyo aendelee kujitolea hapo Yanga?
Alivyo Mjinga anafikiri alikatwa na jini kumbe Gharib ndo director kamkata ili aendelee kukaa hapo Yanga atimize malengo yake.Angetulia kwanza, kama awamu ya kwanza walimkata katika hatua za awali saivi wangeshindwa nini?
Kiufupi mfumo haumuhitaji kwa sasaAlivyo Mjinga anafikiri alikatwa na jini kumbe Gharib ndo director kamkata ili aendelee kukaa hapo Yanga atimize malengo yake.
Ikiwa Gharib anayetoa 10B kuwapa sisiemu under the shadow of Jumanne Kaseja J.k angeshindwa mpambania apate Ubunge .!
Mam anavyosema Jayz usipoushambulia mfumo kuna wakati mfumo utakushambulia .Kiufupi mfumo haumuhitaji kwa sasa
Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakatiUmegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana breki, jifunze kusoma alama za nyakati.
Utafutaji gani Tamaa tuuTamaa za fisii