Heri yake huyu kaandika hivi

Heri yake huyu kaandika hivi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414895857810.jpg
 
Kwa wale wa imani kama ya kwangu, leo tukawakumbuke wapendwa waliotutangulia kwa mola

Umenena vema na wagojwa wote, wasafiri wote na wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia bila kuwasahau yatima na wajane....wooote Mungu awajalie rehema, awape mepesi kwenye magumu ya dunia hii
 
Vilevile tusisahau kuchukuwa SADAKA.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Amina, Amina Aminaaa, Mungu ni mwema sana
 
Kabisaaa halafu nikwambie kitu Khantwe usiache kwenda ibadani Leo, mi ndo nataka kujiandaa

Umejiandaa????? Kumbuka kwenda kanisani tu haitoshi u hav to go extra miles
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wa imani kama ya kwangu, leo tukawakumbuke wapendwa waliotutangulia kwa mola
Laudetur Jesus Christus, Tumsifu Yesu Kristu..... Raha ya milele uwape eeh Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie.... Wapumzike kwa amani.
The Commemoration of All the Faithful Departed.
 
Laudetur Jesus Christus, Tumsifu Yesu Kristu..... Raha ya milele uwape eeh Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie.... Wapumzike kwa amani.
The Commemoration of All the Faithful Departed.

Nawe punguza kulala...! Muda wote umeuchapa na domo umeliacha wazi Gwangambo
 
Last edited by a moderator:
I will come back soon.......................................how sooner is soon?
 
Back
Top Bottom