Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Dah Tanganyika hamna kituWatanganyika mpaka muda huu tuko nyuma kwa goli 3 kwa bila dhidi ya Wazanzibari! Halafu ndiyo kwanza tuko dakika ya pili tu ya mchezo! Mpaka zitakapo malizika dakika zote 90, huenda tukafungwa hata magoli 100 na hawa jamaa zetu wasio na visogo.
🥰🥰🥰pale unapopata mpenzi mpya lazima usifie nchi..😂