Heri ya Siku ya Kuzaliwa Rais Samia

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Rais Samia

Nikiwa Zanzbar, Mkoa wa Unguja Kaskazini, Kijiji cha Donge Muwanda, nikipanda mti ishara ya "27 ya Kijani" ambayo ni Kampeni inayoenda sambamba na Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan 27 Januari ya kila Mwaka.

Tupande Miti ndugu zangu, bila mazingira mazuri hakuna maisha. View attachment 2884437

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ahsante Sana Mheshimiwa endelea kutuelimisha
 
Heri ya kuzaliwa Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Samia Suluhu Hassan.
 
Mhe. Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania.

Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima.🙏🏾

View attachment 2884276
Kheri ya Kumbukizi ya Raisi wa Nchi hakika tumefurahiishwa saanaaa kuona Meli iliyobeba Shehena ya #SUKARI imetia nang'a Bandari tulimisi chai maziwa saanaaa...+1🎂🎂🎂
 
Tatizo huku nlipo hakuna umeme nashindwa kufatilia matukio kwenye
Luninga live dokta

Ova
 
Baada ya zoezi la '27 ya Kijani' la kupanda miti siku hii ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT , mimi na Waziri wa Wizara Pacha ya SMZ Mhe Riziki Pembe (Mb), tuliungana na Wanawake Wajumbe wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kutoka mikoa yote ya JMT ambapo, tulienda kutoa zawadi kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Kivunge, iliyopo Unguja Kaskazini. Kwenye picha tukiwa na Wajumbe wa Jukwaa hilo.

Kwa upande wa Tanzania Bara, Maadhimisho yanaendelea kwenye Makao ya Watoto Kikombo. Picha baadae.
IMG-20240127-WA0081.jpg

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Niungane nawe dr.kumtakia mama heri ya kuzaliwa ...najua ataiona hii mheshimiwa raisi hongera kwa kaz kubwa unayofanya ss vijana tupo nyuma yako mheshimiwa kibajaji changu kiligongwa na gari na nimekiuza skrepa mheshimiwa kama hutojali fanya kitu familia inakufa njaa asante
 
Baada ya zoezi la '27 ya Kijani' la kupanda miti siku hii ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT , mimi na Waziri wa Wizara Pacha ya SMZ Mhe Riziki Pembe (Mb), tuliungana na Wanawake Wajumbe wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kutoka mikoa yote ya JMT ambapo, tulienda kutoa zawadi kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Kivunge, iliyopo Unguja Kaskazini. Kwenye picha tukiwa na Wajumbe wa Jukwaa hilo.

Kwa upande wa Tanzania Bara, Maadhimisho yanaendelea kwenye Makao ya Watoto Kikombo. Picha baadae. View attachment 2884539

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app

Mheshimiwa, hili Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi liko chini ya Wizara yako?

Linapatikana vipi huko mitaani?
 
Mheshimiwa, hili Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi liko chini ya Wizara yako?

Linapatikana vipi huko mitaani?
Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Lina historia; wajumbe wake ni Wanawake wanaojishughulisha na shughuli za maendeleo ya kiuchumi kuanzia ngazi ya Kijiji/Mtaa ambapo huunda forums zenye viongozi wao kuanzia huko ngazi ya chini na hupanda hadi ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa.

Yako Majukwaa idadi kubwa na tunaendelea kuhamasisha na kuelimisha yaundwe kwenye maeneo ambako bado. Hivyo, uliza kwenye eneo lako tafadhali kupitia maafisa maendeleo ya jamii utapata taarifa.

Kwenye Majukwaa haya wajumbe hupata taarifa za fursa mbalimbali za maendeleo, hujengewa uwezo na hubadilishana uzoefu. Tumejipanga kuongeza Kasi ya kuelimisha jamii na kuhamasisha waunde na wajiunge na Majukwaa haya kwani ni fursa Katika kubadilisha fikra, elimu na kutambua fursa za maendeleo. Ahsante kwa swali zuri.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa, hili Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi liko chini ya Wizara yako?

Linapatikana vipi huko mitaani?
Kwa kuongezea, uongozi wa Jukwaa hili la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi unajitegemea kupitia viongozi wa machaguo ya wajumbe ila, wizara ya Jamii inafanya utaratibu wa kisekta Ili wanawake wa Majukwaa haya waweze kuzijua fursa za wizara zote za kisekta na kuzifikia. Ahsante.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Kheri kwake mkuu wetu , hongera pia mama kwa kupanda miti kama uhai .

Kwa heshima yako na mama samia , sasa hivi nimeamua leo kutoenda bar baada ya kazi ila naenda kumuomba mtendaji aniruhusu nipande mti mbele ya ofisi yake kama kumbukumbu ya siku ya mama samia na pia kushiriki unachofanya kiongozi wangu .

Ila popote ulipojua kuwa watu wa afya tunakumiss sana mama yangu , naomba raisi aone hili akurudishe daktari tuna uhitaji mkubwa na wewe .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom