Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,568
- 3,669
Unachokitafuta utakipata.Waropokaji bado hawajaja, njooni mteme nyongo hapa.
Unachokitafuta utakipata.Waropokaji bado hawajaja, njooni mteme nyongo hapa.
Hahahaha kulipata lipi?Unachokitafuta utakipata.



Samia anatakiwa kuondoka madarakani mara moja maana kazi ya urais haiwezi. Sasa hivi umeme ni mgao kwa zaidi ya miezi sita na hana cha kufanya.Mhe. Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania.
Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima.🙏🏾
View attachment 2884276
Ahahaha unatema nyongo jmn mh amesema miezi sita ijayo umeme utakuwa mwisho ,mwisho kukatikaaSamia anatakiwa kuondoka madarakani mara moja maana kazi ya urais haiwezi. Sasa hivi umeme ni mgao kwa zaidi ya miezi sita na hana cha kufanya.
Akili ya kawaida inakataa kabisa, miaka ya magufuli (ambaye alikuwa kiongozi wa hovyo) hapakuwa na mgao. Umeme umeenda wapi? Nini kimetokea?
Huyu hatakiwi kuwa na heri, lolote baya limkute. Hatuwezi kukaa na joto lote hili na hakuna umeme huku yeye anazurura nchi mbalimbali.
Happy birthday mama Samia Suluhu Hassan👏👏👏Mhe. Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania.
Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima.🙏🏾
View attachment 2884276
Hongera Dkt Gwajima D. Unaitendea haki nafasi uliyopewa ya kulitumikia Taifa.Nikiwa Zanzbar, Mkoa wa Unguja Kaskazini, Kijiji cha Donge Muwanda, nikipanda mti ishara ya "27 ya Kijani" ambayo ni Kampeni inayoenda sambamba na Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan 27 Januari ya kila Mwaka.
Tupande Miti ndugu zangu, bila mazingira mazuri hakuna maisha.View attachment 2884437
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
hiiiiiiiiiii!Samia anatakiwa kuondoka madarakani mara moja maana kazi ya urais haiwezi. Sasa hivi umeme ni mgao kwa zaidi ya miezi sita na hana cha kufanya.
Akili ya kawaida inakataa kabisa, miaka ya magufuli (ambaye alikuwa kiongozi wa hovyo) hapakuwa na mgao. Umeme umeenda wapi? Nini kimetokea?
Huyu hatakiwi kuwa na heri, lolote baya limkute. Hatuwezi kukaa na joto lote hili na hakuna umeme huku yeye anazurura nchi mbalimbali.
Kwenye kupanda miti tu kwenye matukio ya sherehe tunawasifuBaada ya zoezi la '27 ya Kijani' la kupanda miti siku hii ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT, mimi na Waziri wa Wizara Pacha ya SMZ Mhe Riziki Pembe (Mb), tuliungana na Wanawake Wajumbe wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi kutoka mikoa yote ya JMT
ambapo, tulienda kutoa zawadi kwa Wagonjwa waliolazwa Hospitali ya Kivunge, iliyopo Unguja Kaskazini. Kwenye picha tukiwa na Wajumbe wa Jukwaa hilo.
Kwa upande wa Tanzania Bara, Maadhimisho yanaendelea kwenye Makao ya Watoto Kikombo. Picha baadae. View attachment 2884539
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Aamin!
Kwa kuongezea, uongozi wa Jukwaa hili la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi unajitegemea kupitia viongozi wa machaguo ya wajumbe ila, wizara ya Jamii inafanya utaratibu wa kisekta Ili wanawake wa Majukwaa haya waweze kuzijua fursa za wizara zote za kisekta na kuzifikia. Ahsante.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Gwaji Girl, hakika wewe ndiye Waziri mwenye IQ kubwa katika Baraza la mawaziri la Sasa awamu hii ya Samia. Napenda sana unavyo tumia Mitandao ya ki Jamii kuelemisha na kuchukua hatua humu Mitandaoni 'case study' kesi ya yule mtoto. Wakati kuna waziri kama Nape mwenye dhamana na mambo ya habari kuja hapa JF kutatua shida yoyote. Tante Brava Gwaji girl!!!Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Lina historia; wajumbe wake ni Wanawake wanaojishughulisha na shughuli za maendeleo ya kiuchumi kuanzia ngazi ya Kijiji/Mtaa ambapo huunda forums zenye viongozi wao kuanzia huko ngazi ya chini na hupanda hadi ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa.
Yako Majukwaa idadi kubwa na tunaendelea kuhamasisha na kuelimisha yaundwe kwenye maeneo ambako bado. Hivyo, uliza kwenye eneo lako tafadhali kupitia maafisa maendeleo ya jamii utapata taarifa.
Kwenye Majukwaa haya wajumbe hupata taarifa za fursa mbalimbali za maendeleo, hujengewa uwezo na hubadilishana uzoefu. Tumejipanga kuongeza Kasi ya kuelimisha jamii na kuhamasisha waunde na wajiunge na Majukwaa haya kwani ni fursa Katika kubadilisha fikra, elimu na kutambua fursa za maendeleo. Ahsante kwa swali zuri.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ndio ukweli,Hahahaha kulipata lipi?
Mnaogopa kuongea?? Si wanawapondaga humu![]()
Woow😘😘😘😘😘Mhe. Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania.
Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima.🙏🏾
View attachment 2884276
Kwa kweli meneja unajuwa kufagiliaa samiaa akiona hii asbh anakuteua commissioer wa nishati na gesiHappy Birthday, President Dr. Samia Suluhu Hassan!On this special day, may your leadership continue to inspire and uplift the nation. Your dedication to progress and unity is commendable, and we wish you success in all your endeavors.
May each year bring new accomplishments, joy, and fulfillment. As you celebrate another year of life, may you find strength, wisdom, and resilience to navigate the challenges ahead. Your leadership has been a beacon of hope, and we are grateful for your commitment to the well-being of the people.
May the coming year be marked by prosperity, peace, and continued strides towards a brighter future. Your vision for a better nation resonates with many, and we are confident that your leadership will leave a lasting positive impact.
Here's to a day filled with joy, surrounded by loved ones, and a year ahead filled with accomplishments and success. Happy Birthday, President Samia Suluhu Hassan!
Sincerely,
Bright and Genius Editors
www.bgeditors.com
contact@bgeditors.com
Phone: +255687746471