Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,706
- 8,686
Happy birthday 🎉 madame President Dr Samia Suluhu Hassan 🌹Mhe Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania. Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima [emoji2971][emoji1431][emoji1241]View attachment 2884276
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Happy birthday to her. Aishi miaka mingiMhe Rais, naungana na Wataalamu na Makundi yote ya Kijamii chini ya Wizara hii ya Jamii kukutakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Tunakutakia Afya njema na Mafanikio tele katika utumishi wako kwa Taifa la Tanzania. Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe daima [emoji2971][emoji1431][emoji1241]View attachment 2884276
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Happy birthday madame president... Uishi miaka mingi ya furaha unapoanza miaka yako mitano ya mwanzo hapo 2025 na kuendelea na miaka mingine 5 hapo 2030Happy birthday 🎉 madame President Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
God bless the works of Your hands for Tanzanians..
HahahahaahahahahaSubscribed, nitarudi na ujumbe wake maalum wa birthday, umeme wamekata hapa Tanesco.
Hongera Sana Mh Kwa kazi iliyotukukaNikiwa Zanzbar, Mkoa wa Unguja Kaskazini, Kijiji cha Donge Muwanda, nikipanda mti ishara ya "27 ya Kijani" ambayo ni Kampeni inayoenda sambamba na Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan 27 Januari ya kila Mwaka.
Tupande Miti ndugu zangu, bila mazingira mazuri hakuna maisha. [emoji1241]View attachment 2884437
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mbona tayari yupo verified? Huoni hiyo tiki kwenye jina lake?Mheheshimiwa kumbe una id yako humu, mbona sio verified, ni ya kawaida tu? Ifanye iwe na hadhi ya juu kama platnum, senior na hadhi zingine za juu
Hbr za asubuhi, tupande Miti Ndugu yangu tutunze mazingira [emoji1431][emoji1241] shukrani. Hii ndiyo like kubwa kabisa[emoji1666]Mkuu (Mheshimiwa),salaaam! Mi naomba 'LIKE' yako tu! Kwenye salamu yangu hii!