Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Pole sana mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu
Apumzike kwa aman mama yetu mpendwa
 
Wakuu nawatakia sikuuu njema wote humu ila kwangu ni ngumu; my beloved mama amefariki usiku wa kuamkia leo.

Nawatakia heri
Pole sana ndugu Mungu awe mfariji wenu mkuu ktk kipindi hiki cha msiba huu mkubwa. Roho ya Marehemu Mama ipate pumziko la milele apumike kwa amani amina.
 
Wakuu nawatakia sikuuu njema wote humu ila kwangu ni ngumu; my beloved mama amefariki usiku wa kuamkia leo.

Nawatakia heri
Pole sana member upo wapi? Siwezi elezea kuondokewa na mzazi ila wacha tu. Wengi wetu humu ni yatima wazoefu hivyo tumfariji mwenzetu.
 
Back
Top Bottom