Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Pole sana mkuu. Mola akupatie nguvu kustahimili kipindi hiki kigumu. Apumzike kwa amani marehemu.

Wasiojulikana siyo watu wazuri. Inashindikana hata kukuuliza msiba wapi.

Tunaisubiria serikali ya watu labda kama ya yule mwamba wa Zambia HH, ambapo JF labda ya siku hizo Mh. kama Mzee Wassira hatakuwa humu kumbe kama ndege JOHN.

Hiiiiiiii bagosha!
 
Umefiwa Leo na unapata muda wa kupost! E. I. P mama nyuma Yako mbele yetu. Pole Sana Kwa magumu unayopitia maana ukifiwa na mama uchungu huwa mkubwa Sana.
Kwani anatakiwa kupost baada ya muda gani??

Huenda yupo njiani kuelekea msibani, acha afanye kile anaona nafsi yake itatulia.
Kwahiyo unatafuta faraja MITANDAONI.

Tuna kizazi Cha ajabu sana.
Ulitaka faraja aitafute wapi, wewe ndio unaefanya kizazi chako kiwe cha ajabu zaidi kwa kutokua na huruma.
 
Kwani anatakiwa kupost baada ya muda gani??

Huenda yupo njiani kuelekea msibani, acha afanye kile anaona nafsi yake itatulia.

Ulitaka faraja aitafute wapi, wewe ndio unaefanya kizazi chako kiwe cha ajabu zaidi kwa kutokua na huruma.
Jf kuna watu wa ajabu hata mtaani hawapo hawa wanaishi ulimwengu wa peke yao,maana kila kitu lazima wakibeza,

Wanataka mtu ukifiwa ukae uchi/kutojitambua/kutambua kinachoendelea ndiyo wajue kuwa unamachungu ya kufiwa.
 
Pole sana mwana jf!

Roho ya marejem ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani. Amina.
 
Jf kuna watu wa ajabu hata mtaani hawapo hawa wanaishi ulimwengu wa peke yao,maana kila kitu lazima wakibeza,

Wanataka mtu ukifiwa ukae uchi/kutojitambua/kutambua kinachoendelea ndiyo wajue kuwa unamachungu ya kufiwa.
Ulie ugalegale chini, upige ukunga mpaka mtaa wa pili wasikie, hapo ndo wataamini kua umefiwa.

Nyambaf kabisa hawa.
 
Back
Top Bottom