Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Pole sana ndugu yangu katika JF Mungu na akufanyie wepesi katika kipindi hiki

R.I.P MAMA!
JamiiForums-1478808112.gif
 
Poleni sana! Mwenyezi Mungu amjalie Mama pumziko la Amani! Ahsante kwa matashi mema ya Noeli!
 
Back
Top Bottom