Nasema na nitaendelea kusema bila sheria kandamizi ya uchaguzi kubadirishwa sipigi kura tena! Akilini mwangu namuona Babu Duni akienda kuwaambia kuwa kura za urais zinazotangazwa ni tofauti kabisa lakini alizuiliwa wakijua akishatangazwa mshindi huna pa kulalamika! Sio siri maumivu yanazidi ni bora isijue mambo kwani maarifa mengi huongeza huzuni nyingi! Kwa wanaojua system ilivyofanya! we are in pain!