Heri ya Mwaka Mpya kwa wana UKAWA

Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.

Nawe pia kamanda wangu........uwe na wakati mzuri.........
 
Wana jamvi siyo kusudio langu kufanya ubaguzi kwa wale wasiyo wana ukawa, nimeamua kutoa salaamu hizo kufuatia uvumilivu wao na mapenzi yao makubwa kwa umoja wa amani ya taifa letu.

Hivi hii kitu bado ipo? Nina muda mrefu sijamsikia Mbatia mzee wa matamko.
 
Makamanda hongereni kwa ushindi wa 62% kwa Lowasa,makamanda mlifanya kazi kubwa.uvumilivu wa kisiasa,siasa safi na busara za mgombea na mwenyekiti zimeiacha nchi ktk hali ya utulivu,nasisitiza tena katika hali ya utulivu,amani haipo
Tupo pamoja sana makamanda wooteeee
 
Back
Top Bottom