ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,604
- 119,761
Hujitambui, mbaya zaidi hutambui kuwa hujitambui.Wewe ni nyumbu ulishaambiwa kuwa hutakiwi kutia mguu wako humu,ama kweli nyumbu ni nyumbi
Hujitambui, mbaya zaidi hutambui kuwa hujitambui.Wewe ni nyumbu ulishaambiwa kuwa hutakiwi kutia mguu wako humu,ama kweli nyumbu ni nyumbi
Mkuu pepsin tupo wote na tulikuwa wote mwaka ulipita naomba tuendelee kuwa pamoja maana umoja ni nguvuNami nawatakia makamanda wote Heri nyingi za mwaka mpya
Kwakuwa huku mtaani magamba yanaogopa hata mikutano ya shukrani kwa wapiga kura,tuandae makamanda wetu kupamabana bungeni